Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
- Thread starter
- #21
Inatarajiwa kuanza safari zake lini? Fastjet waanze kujipanga,dege la kibongo hilooooo
we cheka 2, eti gobore, hahahaa utadhan hata we una mawazo ya maana, zaid ya tabia yako ya kuongeza Idad
we cheka 2, eti gobore, hahahaa utadhan hata we una mawazo ya maana, zaid ya tabia yako ya kuongeza Idad
Ndugu watanzania mimi kama Rais wa JMT kwa niaba ya watanzania wenzangu ninapenda kumpongeza kijana Denis kwa utundu na ubunifu wake wa kutengeneza ndege.Lakini naomba pia nimueleze kwamba mimi pamoja na kamati kuu yangu ya CCM pamoja na NEC tulisha azimia kwamba hatutakuwa na mpango wowote wa kuendeleza vipaji vy vijana katika taifa hili,lakini kwa pamoja tuliona ni busara zaidi kuwaendeleza vijana wenye malengo ya kuwa wanasiasa.Kwa iyo kitendo alicho kifanya bwana Denis ni kinyume kabisa cha azimio letu la chama.Namsahauri Ndugu Denis akawaulize vijana wa kinyia kule Mbozi mbeya tulichowafanya baada ya kuanza kutengeneza bunduki za kienyeji,kwa kifupi nikueleze tuliwakamata na kuwafunga japo bunduki zao zilikuwa zinafanya kazi kama ya mzungu.Naomba watanzania wote tuheshimu mawazo ya busara yaliyo amuliwa na wazee wetu katika kamati kuu ya NEC kwamba ni marufuku kwa kijana yeyote kuendelezwa kipaji chake,kwasababu vitu wanavyobuni vijana wa kitanzania havina ubora kama vy ulaya.Ndugu sasa kwanini tulazimike kupanda ndege iliyobuniwa na bwana Denis wakati zipo ready made aeroplane za wazungu kutoka ulaya?uku ni kuhatarisha maisha ya viongozi wetu na watanzania kwa ujumla.Kwaiyo naagiza kuanzia leo jeshi la polisi lihakikishe kuwa Ndugu Denis anakamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa kukiuka azimiohalali la chama twawala,ni maruku vijana wa tanzania kubuni vitu ambavyo wazungu wameishatuletea.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]PICHA YA NDEGE ILIYO UNDWA NA DENIS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kijana wa kitanzania ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha
Arusha aitwaye Denis, amefanikiwa kuunda ndege ya
abiria. Kijana huyo alianza kuiunda ndege hiyo zaidi ya miezi
mitatu iliyo pita na sasa ipo katika hatua za mwisho kabla h
ajaifanyia majaribio.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]MZEE WA KIJIWE AKIWA NJE YA NDEGE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hii ni mara ya pili kwa kijana huyu kuunda ndege baada ya kufanya majaribio mengine huko mkoani Mara ambayo yalikuwa na matunda mazuri.
Ndege inayo endelea kutengenezwa na kijana huyu ipo katika eneo la Chuo kikuu cha Arusha kilichopo katika mji mdogo wa Usariver karibu na hifadhi ya wanyama ya Arusha (Arusha National Park).
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]MZEE WA KIJIWE AKIWA KWENYE NDEGE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Endapo majaribio ya bwana
Denis yakifanikiwa basi atakuwa ameipeperusha vyema bendera ya
Tanzania na Africa kwa ujumla. Ni wito wangu kwa Serikali na
taasisi binafsi kujitokeza na kumuunga mkono kijana huyu
katika majaribio haya makubwa na yakimapinduzi.
MATUKIO NA MICHAPO BLOG: MWANAFUNZI WA KITANZANIA AUNDA NDEGE YA ABIRIA SHUHUDIA HAPA