Kijana wa Dar Vs Kijana wa Kisukuma

Kijana wa Dar Vs Kijana wa Kisukuma

Kijana wa "KISUKUMA" age 17, anamiliki ng'ombe 300, ekali 20 na mke mmoja, watoto watatu..!!!

Kijana wa "DAR" age 23, anamiliki raba jozi 15, mademu 6, watatu kawachomoa mimba,hana mtoto hata mmoja halafu anaishi kwenye nyumba ya uani au urithi.!
"Halafu bado mnasema wasukuma washamba"

😁😀😄😆😃😃😁😀😄😄😆😃wasukuma Leo nimewapamba kweli kweli
Kwani kijana wa kisukuma hawezi kuishi Dar es salaam?
 
kuna wasukuma niko nao shamba huku wanafanya vibarua
 
Wasukuma wa wapi hao? 17yrs wanachunga mifugo ya wazazi, mzazi ana muolea mtoto wake ana mtolea mahari ya mifugo anakuja ishi nae kwa baba.

Wasukuma bado sana, na kutoka katika mji wa wazazi wake mpaka mzazi wake baba a ruhusu

Mke aliyetolewa mahari na kuchaguliwa na baba yake hawezi muacha mpaka baba yake apende kufanya hivyo na haijarishi ana tatizo au Hana tatizo, muhimu baba ndio ana maamuzi katika ndoa yako.

Mwanamke asipo zaa, au akichelewa kuzaa kwisha Habari yake chamoto atakiona

Usukumani kuoa ni kununua, mahari ndio gharama iliyothaminishwa katika manunuzi hayo.

Hawapendi kuoza kwa makabila sababu wanatoa mahari kidogo tofauti na utamaduni wao wa wenyewe kwa wenyewe

Wasukuma bado sana, wana waoza watoto wa miaka 11, 12 mpaka 17 ambao wanahitaji kupata elimu ya masingi na sekondari

Baba wa kisukuma akipata mtoto wa kike kwake ni furaha kwa kuwa ni utajiri, akimuoza (muuza) ana Pata mifugo (mahari)

Wasukuma hawana ukarimu, wana roho ngumu sio waongeaji na ukimuonea anabaki na kinyongo huku akikutafutia namna ya kukuundia genge akumalize Ata kwa panga (moja ya maeneo ambayo vikongwe walipata shida sana)

Ukikorofishana na msukuma katika jamii yao, wenzie wakija hawataki kuuliza shida nini bali wao wanaungana na mwenzao bila kujali amekosea au amepatia na wakiwa na hasira ni kukubonda na wanaweza kukumaliza kabisa

Wasukuma wanasafari ndefu, bado Imani za jadi zimetamalaki mno. Wao na Imani zao za jadi wanatembea na mailizi wamening'iniza shingoni na mikononi na miguuni, wenyewe wanaita Kinga

Wasaidieni Hawa watu wanaweza kulima na kufuga kweli kweli lakini bado wakawa wanalala katika matembe, mabadiliko utayasikia kwa wengine mifugo hiyo ni yakupata sifa kuwa anamifugo mingi na wake wengi lakini anapoishi ni mtihani

Vyoo havina nafasi kwa wasukuma, huko ni popote wanashusha ndio maana kipindupindu kiliwahenyesha mwaka jana na mwaka huu
Acha chuki binafsi na wasukuma wewe
Yaani umeandika gazeti refu ,sio bure wasukuma walishakupiga na kitu kizito si kwa chuki hizo🤣
 
Back
Top Bottom