Kijana, utavuna ulichopanda!

Kijana, utavuna ulichopanda!

Ni makosa kutuelimisha Sisi Wanaume. Fanya Jitihada waelimishe wake za Watu.
 
JF kuna baadhi ya vijana wa hovyo sana, wanatembea na wake za watu kisha wanakuja kuweka Uzi hapa JF tena wakijinadi, doh ni hatari sana. Maana wamesahau kuwa nao miaka ya mbeleni wataoa na cha kushangaza watataka wake waliotulia.

Hahahah, daima utavuna ulichopanda na mtenda hutendwa.

Matokeo ya kula mke wa mtu:

1) Nawe ukioa basi wakwako atasumbuliwa vibaya mno.

2) Siku ukidakwa unameng'enyua mke wa mtu, ahhh hapa kuna matokeo mengi mpaka nahofia kusema.

NB: Mke wa mtu ni hatari zaidi ya UKIMWI tena zaidi ya generator lenye shoti tena zaidi ya moto ule unaowaka sokoni.
Kuna namna sahihi ya kula mke wa mtu

1.hakikisha mme wake umezidi kipato tena mbali sana

2.hakikisha hutumi meseji unapiga tu
3.hakikisha siku ya kula unaenda kulia mbali kilometer 30 yaani kama anakaa mbagala kamlie bunju
4.hakikisha unamlia kwenye hotel sio gest wala logde maana hotel mara nyingi wana ulinzi mkali hii itakusaidia wakifumania usipigwe na polisi watakuja utapona ...gest hakuna ulinzi wafumaniaji wataaingia kama kwao tu

5.ukishapiga mara kadhaa achana nae potezea kabisa yaani kama hujui nini kinaendelea

6.hata umpende vipi asipajue unapokaaa hii itakusaidia sana kiusalamaa

7.ukiwa una muhonga tumia wakala tu usitume wewe direct...

Ukifuata haya niliyoandika umepona

Achana na wake za watu za majamaa yenye uwezo piga vimke vya watu vya masikini au middle income earners tu.... unaenda kupiga mke wa billionea watu wambea watapeleka taarifa wapate maokoto kwa boss......piga mke wa vijamaa vinafanyaa kazi sijui tigo .....polisi ....waalimu tena hawa unafumua tu ...madoctor ....fumua tu

Achana na wake wa matajir wakubwa sana yaani mabillionea au kama uko mkoani au wilayank kuwa kuna tajir anafahamika sana mke wake achana nae
 
Vijana wa
JF kuna baadhi ya vijana wa hovyo sana, wanatembea na wake za watu kisha wanakuja kuweka Uzi hapa JF tena wakijinadi, doh ni hatari sana. Maana wamesahau kuwa nao miaka ya mbeleni wataoa na cha kushangaza watataka wake waliotulia.

Hahahah, daima utavuna ulichopanda na mtenda hutendwa.

Matokeo ya kula mke wa mtu:

1) Nawe ukioa basi wakwako atasumbuliwa vibaya mno.

2) Siku ukidakwa unameng'enyua mke wa mtu, ahhh hapa kuna matokeo mengi mpaka nahofia kusema.

NB: Mke wa mtu ni hatari zaidi ya UKIMWI tena zaidi ya generator lenye shoti tena zaidi ya moto ule unaowaka sokoni.
Vijana wa hovyo
 
Pole Braza ila kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Kiukweli nilikula mke wa mtu.

Mwanamke yule alianza kusema mapungufu ya mshua. Oo ana sukari mkoko uko teketeke hauna amshaamsha. Nikamla kwa kipind kirefu, mshua anajua mkewe analiwa nje akaita kikao mashangazi wa mkewe.

Mchzi mimba anampa mkewe kama kawa tatizo ni zile game za mara kwa mara hampi
 
Kuna jamaa mkoani Tabora alikuwa na kijana ambaye alimchukua kutoka mtaani, akaanza kumtuma akamtoa akamuweka kwenye mabiashara zake.

After a time goes on jamaa akawa anamtuma mpaka nyumbani. Dogo anaenda kuchukua vitu anavyoagizwa mke akaanza kuweka ukaribu mwisho ws siku akamla mke wa jamaa.

Watu wakamtonya kwamba dogo anakula mke wako ukiondoka maana alikuwa anafahamu ratiba za jamaa.

Akamuwekea mtego akimuaga dogo mimi nasafiri, dogo kama kawaida akaingia kwa mwanamke wakampigia jamaa. Akaja akamkuta dogo yupo uchi na mkewe.

Akapiga simu wakaja vijana 7 akasema kila mtu atampa 100k anataka wamshugulikie. Dogo alifirwa na wanaume saba, alipotea miaka 4 Tabora akawa haonekani.

Wakazi wa mwinyi watakuwa wanafahamu hili tukio.
Hivyo hivyo kuna Mahakama ilimhukumu kifungo cha jela miaka 30 mwanaume aliyefanya kisasi kama hicho pamoja na wahusika. Dogo angefungua kesi angewanyoosha vizuri.
 
Afu mkitoka hapo mnaupinga ushoga, akati mnaufamya tena kwa malipo kabisaa. Lol
 
Hao wanaogongewa saiv maanake ujanani walikua Vijana wa hovyo walikula wake za watu
 
Afu mkitoka hapo mnaupinga ushoga, akati mnaufamya tena kwa malipo kabisaa. Lol
Mkuu coca,
Kila mtu ana mtazamo wake, usipoweza kutuliza akili yako na kudhibiti hisia zako mara nyingi dunia itakuonyesha ukatili.

Vijana wengi hatuwezi hilo, mke wa mtu unamtamani sababu anahudumiwa na kupendeza. Wanashinda wanavaa vipensi hawataki kazi na wanakuambia hawataki kuoa. Ila wapo tayari kutembea na wake za watu wacha dunia iwafunze.

Pili, mimi binafsi sioni sababu ya mtu kwa hiari yake kuwa shoga, isipokuwa labda kwa sababu kama zile watoto wanaolawitiwa wakiwa wadogo na kuishia huko. Lakini nikifahamu huyu mtu ni shoga siwezi kumtenga kwa namna yoyote sababu alishaamua maisha yake yawe hivo.

Mimi ni mzazi nina mtoto wakiume ninajaribu kujiweka katika nafasi ya mzazi ambaye ana mtoto wa hivyo inauma sana lakini halibadilishi uhalisia atabaki kuwa mtoto wake.

Ni kuendelea kumfundisha mtoto katika njia sahihi tu.
 
Hivyo hivyo kuna Mahakama ilimhukumu kifungo cha jela miaka 30 mwanaume aliyefanya kisasi kama hicho pamoja na wahusika. Dogo angefungua kesi angewanyoosha vizuri.
Mkuu magoya

Anaweza fungua kesi sawa. Tatizo una ushahidi gani wa kuishawishi mahakama?

Mimi kila siku nasema hapa matatizo yote ya mahusiano 95% tunasababisha wanaume. Wanaume sisi ni viumbe dhaifu sana tofauti na tunavyojinadi.

tukiwekewa mtego na ke ni rahisi kuuvaa.

Nakupa mfano mwingine, kuna jamaa maeneo ya chanika alikuwa na mke wake. Sasa pale jirani yake kuna jamaa mwingine na yeye ana mke na watoto.

sasa huyo jamaa wa pili mwingine akaanza kumtongoza yule mke wa jamaa wa kwanza na anafahamu kabisa ni mke wa mtu, mwanamke akaenda kumwambia mume wake.

Mume akasema mkubalie ila hakikisha anaingia humu ndani, tamaa za kipumbavu akaingia kwa mwanaume mwenzake, mwanamke akatuma meseji yupo ndani tayari, mshkaji akaja na watu watatu usiku mida ya saa5.

Alifungwa kitambaa mdomoni na mikono akachezea kipigo kwanza, then wanaume wakafanya kazi yao kumuingilia. Baadae wakamtoa wakampeleka kwa mke wake wakisema tumemuokota katika hali hii.

Mke alipokuja kujua asubuhi yake akisikia zile habari zilizotokea usiku alifunga virago akabeba watoto akaondoka.

sasahiv ni mlevi kupindukia. Kama utashindwa kuzishinda hisia zako na akili yako ukaituliza dunia itakuonyesha ukatili sana.

Usipofunzwa na wazazi ulimwengu utakufunza.
 
akitaka asigongewe aoe mwanamke mwenye sura kama poromoko la ma*v, na tako flat kama tofali za choma na awe na miguu myembamba kama fidodido🤣🤣
Na hapo bado vijana wa hovyo watasema huyu ndio mzuri hajatumika sana. Watamuonja tu Mkuu.

Ttizo ni hao wake za watu wala sio vijana.
 
Back
Top Bottom