Kijana, utavuna ulichopanda!

Kijana, utavuna ulichopanda!

Chanzo Cha wake za watu kupigwa mitalimbo ya nje.
1.mikopo kausha damu, mme unahangaika kuilisha familia na kulipa bill mbalimbali hujui mke kaweka bond mpaka kitanda na ndoo unayoendea uwani. Unametegea nn sasa zaidi ya yeye kuja kutafuta marejesho kwa vjana wasio na majukumu
2.maradhi na unene kupitia kiasi
Maradhi. Kuna wame za watu Wana kisukari na maradhi mengneyo hivyo kupelekea kutoshikisha vizuri wake zao ukuta. Hivyo huja kutafuta faraja kwa vijana
Unene
Mwanaume unaruhusu vp kunenepa kupitia kiasi Kama nguruwe poli. Njia ya kwenda gym hamuijui. Mtu unanenepa tumbo na makalio mpaka dudu inasinyaa utegemee mkeo utamridhisha.
Am going for a short call for some body's wife
 
wanatoka na waume za watu wakumbushe na wao kujitafakari
Msasani kule kulikua na mdada chizi ..yeye huyo kutwa akiwa njiani utasikia alikuja mwenyewe..si alikuja mwenyewe...na akiona wanaume anaonesha nyeti yake...waswahili wakasema eti alitembea na MUME WA MTU , mwenye mume akenda kushtaki kwa Mungu wake
 
JF kuna baadhi ya vijana wa hovyo sana, wanatembea na wake za watu kisha wanakuja kuweka Uzi hapa JF tena wakijinadi, doh ni hatari sana. Maana wamesahau kuwa nao miaka ya mbeleni wataoa na cha kushangaza watataka wake waliotulia.

Hahahah, daima utavuna ulichopanda na mtenda hutendwa.

Matokeo ya kula mke wa mtu:

1) Nawe ukioa basi wakwako atasumbuliwa vibaya mno.

2) Siku ukidakwa unameng'enyua mke wa mtu, ahhh hapa kuna matokeo mengi mpaka nahofia kusema.

NB: Mke wa mtu ni hatari zaidi ya UKIMWI tena zaidi ya generator lenye shoti tena zaidi ya moto ule unaowaka sokoni.
Ukitaka mke asikucheat mpelekee moto kama unaua, maana the way ambavyo tubawapelekea moto mchepuko ndo hivo wake zetu wanagongwa mtaan hadi wanawatukana waume zao
 
Ukitaka mke asikucheat mpelekee moto kama unaua, maana the way ambavyo tubawapelekea moto mchepuko ndo hivo wake zetu wanagongwa mtaan hadi wanawatukana waume zao
Umeshawahi kuendesha gari ambalo hujalinunua? Unalipitisha tu kwenye makolongo tena unalipeleka putaputa balaa
 
Chanzo Cha wake za watu kupigwa mitalimbo ya nje.
1.mikopo kausha damu, mme unahangaika kuilisha familia na kulipa bill mbalimbali hujui mke kaweka bond mpaka kitanda na ndoo unayoendea uwani. Unametegea nn sasa zaidi ya yeye kuja kutafuta marejesho kwa vjana wasio na majukumu
2.maradhi na unene kupitia kiasi
Maradhi. Kuna wame za watu Wana kisukari na maradhi mengneyo hivyo kupelekea kutoshikisha vizuri wake zao ukuta. Hivyo huja kutafuta faraja kwa vijana
Unene
Mwanaume unaruhusu vp kunenepa kupitia kiasi Kama nguruwe poli. Njia ya kwenda gym hamuijui. Mtu unanenepa tumbo na makalio mpaka dudu inasinyaa utegemee mkeo utamridhisha.
Am going for a short call for some body's wife
😂😂😂 Huu ukweli mchungu
 
Msasani kule kulikua na mdada chizi ..yeye huyo kutwa akiwa njiani utasikia alikuja mwenyewe..si alikuja mwenyewe...na akiona wanaume anaonesha nyeti yake...waswahili wakasema eti alitembea na MUME WA MTU , mwenye mume akenda kushtaki kwa Mungu wake
Kuna jamaa moja mtaani kwetu alitembea na MKE WA MTU akafumaniwa..wahuni wakapitia mtaro
 
Mojawapo ya dhambi za hovyo kabisa na yenye madhara makubwa kwa mwenye kuitenda na hata vizazi vyake kadhaa! (cf. Mfalme Daudi)

Ni dhambi inayopaswa kuepukwa kwa gharama yo yote ile! 🙏🏿

Screenshot_20240213_170553_Instagram Lite.jpg
 
😂😂😂
Kuna jamaa mkoani Tabora alikuwa na kijana ambaye alimchukua kutoka mtaani, akaanza kumtuma akamtoa akamuweka kwenye mabiashara zake.

After a time goes on jamaa akawa anamtuma mpaka nyumbani. Dogo anaenda kuchukua vitu anavyoagizwa mke akaanza kuweka ukaribu mwisho ws siku akamla mke wa jamaa.

Watu wakamtonya kwamba dogo anakula mke wako ukiondoka maana alikuwa anafahamu ratiba za jamaa.

Akamuwekea mtego akimuaga dogo mimi nasafiri, dogo kama kawaida akaingia kwa mwanamke wakampigia jamaa. Akaja akamkuta dogo yupo uchi na mkewe.

Akapiga simu wakaja vijana 7 akasema kila mtu atampa 100k anataka wamshugulikie. Dogo alifirwa na wanaume saba, alipotea miaka 4 Tabora akawa haonekani.

Wakazi wa mwinyi watakuwa wanafahamu hili tukio.
 
Mimi ninauhakika nitavuna bangi, maana ndizo nilizo panda...🤨
 
Back
Top Bottom