Kijana, utavuna ulichopanda!

slmnd

Member
Dec 12, 2023
46
82
JF kuna baadhi ya vijana wa hovyo sana, wanatembea na wake za watu kisha wanakuja kuweka Uzi hapa JF tena wakijinadi, doh ni hatari sana. Maana wamesahau kuwa nao miaka ya mbeleni wataoa na cha kushangaza watataka wake waliotulia.

Hahahah, daima utavuna ulichopanda na mtenda hutendwa.

Matokeo ya kula mke wa mtu:

1) Nawe ukioa basi wakwako atasumbuliwa vibaya mno.

2) Siku ukidakwa unameng'enyua mke wa mtu, ahhh hapa kuna matokeo mengi mpaka nahofia kusema.

NB: Mke wa mtu ni hatari zaidi ya UKIMWI tena zaidi ya generator lenye shoti tena zaidi ya moto ule unaowaka sokoni.
 
Mwanamke kama anakupenda kweli anaanzaje kunasa kwa vijana wa hovyo maybe hao vijana wa hovyo wana kitu ambacho wewe huna
Kwa nini akubali kuolewa na mtu ambaye hana kitu ambacho vijana wa hovyo wanacho

Kwa nini asiolewe na hao vijana wa hovyo wenye hicho kitu kuliko kusumbuana kwenye ndoa?
 
Hata ukitutishia unajichosha tu unawatisha wadau wasikugongee Nini
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
akitaka asigongewe aoe mwanamke mwenye sura kama poromoko la ma*v, na tako flat kama tofali za choma na awe na miguu myembamba kama fidodido🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom