Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,045
- 15,382
Mkuu, maisha hayana formula, mambo yananyokushinda wewe wenzako wanayaweza, usitupime kwa viwango vyako vya kufeli
Siyakukothamela Sonini na nini
Mkuu, maisha hayana formula, mambo yananyokushinda wewe wenzako wanayaweza, usitupime kwa viwango vyako vya kufeli
Mkuu naomba ufute hii signature yako, inanikera kurudia kuisoma kila saa.
Siyakukothamela Sonini na nini
Niweke ipiiMkuu naomba ufute hii signature yako, inanikera kurudia kuisoma kila saa.
Siyakukothamela sonini na niin sijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mke alitelekezewa na mtoto, sasa hivi mtoto yupo university, ananipenda ni balaa kila kitu, anachoambiwa, hataki kujibu mpaka aniulize kwanza, hata mama yake akinikoroga anamuweka chini na kumpa ukweli, kwa ukweli kabarikiwa sana..!!
Aaaaah aaaaahInategemeana.
Ila huku kijijini ukioa jirani itakuwa unahudumia familia 2 bila ww kujua .
Ukinunua mafuta lita 5...anagawa....2kwa mama 3 zinabaki....sukari.....unga....mchele....hivyo hivyo
Oa tu mkuu, hujui alizalishwaje.... akikushinda fanya kama watangulizi wako.