co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
I hope mko poa humu,jana katika harakati zangu huwa napenda kuongea sana na watu wapya.Basi, kuna sehemu nikawa nimekaaa na kijana mwenzangu tukawa tunapiga stori mbili tatu.
Katika mazungumzo yetu akagusia kwamba umeoa au,nikamwambia bado akaniuliza kwanini bado? nikamjibu muda ukifika na nikiona kwamba na uhitaji wa kuoa ntaoa.
Mimi pia nikamuuliza wewe vipi umeoa? Akacheka kidogo akanijibu,nimeoa kwa force ya wazazi na mke nimeletewa ila sina mapenzi nae niko nae siku ya nne ndani ila yaani simpendi.
Akaniambia labda nimshauri kutokana na hiyo kadhia, wazazi wake walimforce aoe ila akawaambia subiri kidogo au mnitafutie mwanamke huko nyumbani basi wazazi bila iyana wakamtafutia binti na picha wakamtumia sasa picha ile walikuwa wameizoom jamaa akaona fresh,siku anayoenda mbezi kumpokea jamaa alisema alinyong’onyeka sana hakuamini alichokiona binti ni mdogo sana,mfupi na mwili hana na yeye anapenda nyama nyama.
Baada ya kumpokea ndo leo siku ya nne wapo nae ndani yaani yupo yupo tu kuzimu hayupo dunianu hayupo yaani mwanamke hamvutiii kabisa,akiwaambia kwao anataka amrudishe wanamwambia mlishe mwili utakuja tu la si hivyo utatutia aibu.
Kiufupi jamaa anawakati mgumu. Ndo maana mimi hayo mambo ya kutafutiwa mke siyataki kabisa