Kijana usije Dar es aalaam kabla hujahakikisha unakuja kufanya nini, huku watu wanaishi maisha ya umaskini uliokithiri.

Acha kutisha watu. Kila mtu ana baraka zake hata kwa hapo Dsm, tatizo umekariri kwamba Dsm ni shida tupu unasahau fursa nyingi za maisha zipo hapo Dsm pia.

Acha waje kila mtu atapambana kivyake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya dar ya ajabu ajabu sana
Unakuta mtu anashindia mihoga na kachumbari ilio wekwa pilipili nyingi hapo mchana kutwa anashindia maji ya kandoro
Halafu yuko mtaani anacheza dafti na kubeti
 

Dah! Ni Noma Sana Mkuu,, Yaani Wako Rais Wengi Tu Wenye Life La Hivo,, Kama Huwajui Unawezasema Bonge Latu Wa Maana,, Kumbe Chenga Tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimevuta picha jins mjomba wako alivo. Atakua anafanana na wale wenyeji wa manzese pale mda wote mapete vidoleni,machen shngon na bagharashia kichwani
 
Dar ni jiji la gharama, na mabahili wamejaa huko mazee! Mutu mpaka akukaribishe ujue amepigika.
 
Kuna mwimbo unaimba 'wacha kupiga mayowe weeee wacha wayaone wenyewe weee' Dar kuna jamii ya watu wengi inaishi maisha mabaya sana sio magumu ni mabaya ukianzia makazi hadi chakula wanachokila ambacho mwisho wa siku kinawaletea madhara makubwa ya kiafya
 
Dar es salaam in chid benz voice.
Waganga njaa tupo wengi kuliko waliotoboa na tunajipa matumaini usikimbie mjini ndio fursa zipo nnchini hapa na ukipata connection moja matata umetoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…