Kijana kuwa Mwangalifu na mama huyu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana kuwa Mwangalifu na mama huyu.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Babu Ubwete, Jun 6, 2011.

 1. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jimama moja linapenda sana vijana na limeolewa na Pilot mmoja makazi yake ni pembezoni mwa Bahari ya Hindi. Anaambukiza ngoma makusudi kwa vijana, anakuazima magari mazuri uendeshe Range rover,Mercedes,Mark X etc. Anajiiita aka jiko la mbuzi kama ni mnywaji Utalewa kila siku lakini siku zako za kuvaa nepi zinakaribia vijana mjihadhari na mama huyu mwenye asili ya nchi ya jirani.
   
 2. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  hacha umbea,
  umempimaje?
  au ulishaambukizwa????
   
 3. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dugu pole kwa hiyo wewe ameshakumaliza
   
 4. S

  Speedo Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 13
  Hapa huwa tunaongea wazi babu ubwete, ila sio vizuri kutaja jina la mhusika moja kwa moja. Hata hivyo itapendeza tukimfahamu.
  Tafadhali tueleze anapatikana eneo lipi/karibu na wapi/nini, mji upi, anajihusisha na nini au huwa anapendelea kuwa maeneo gani.
  Asante kwa ushirikiano wako
   
 5. kibaa

  kibaa JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2014
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  ngoja niende hom kwa kushtukiza naweza gamea kufumania game nikikuta naua mtu leo
   
 6. m

  mojaone Senior Member

  #6
  Apr 3, 2014
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha michepuko,baki njia kuu,hata ukimjua hakusaidii lolote!
   
 7. shasil alonso

  shasil alonso Member

  #7
  Apr 5, 2014
  Joined: Mar 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waache waroho wa matamanio waende, maana watu hawaoni chaka
   
Loading...