habil na kabil

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 100 others

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa si project ya Night walk ya Wana usalama Kama Baadhi Ya Member Wanavyopotosha

    Kuna huu uzi nimesoma. https://www.jamiiforums.com/threads/je-captain-tesha-habil-na-kabil-ilikuwa-project-ya-night-walk-ya-wana-usalama.2437201/page-2 Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli. Naomba nijibu kama...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?

    Hamjambo! Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao. Baadaye kabisa baada ya MO29 anazuka Mhusika Mwingine, machachari, unknown Character, anapata umaarufu mkubwa bila sura...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kijana Habil na kabil Ametokomea na utapeli wake

    Huyu kijana mjanjamjanja , aliibuka na kudai ataipararaizi serikali, alikuja na mbinu za kujiliza huko TikTok kwenye Kila live, na madai kedekede ya kujifanya anaushaidi wakutosha wa video na sauti ambao hakuwahi kuuweka hata mmoja hadharani. Mtu huyu aliamua kupita na upepo maana aliaona...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya maandamano ya D9 kufeli habil atakuja na story gani tena?

    1. Kwa diaspora , poleni sana mlikuwa mnashadadia sana sana maandamano ya fujo yatokeee mjifariji huko kwenye barafu kuwa mna ushawishi kwa hivyo vi send wave zenu na remitly za dola 30 mpaka 100 sasa ngoma imebuma rasmi. 2. Mlikuwa na katoto kajinga kanajifanya kamehack systems za BOT ...
  5. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Najuzwa hapa Habil ni mwanakitengo kuvumisha propaganda kusudi kuzima D9

    Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye. Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua...
  6. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

    Daa Tanzania will never be the same again. Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto. Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi...
Back
Top Bottom