Mzee Kabwanga
Member
- Apr 27, 2012
- 68
- 18
View attachment 97512View attachment 97513View attachment 97514View attachment 97515
kATIKA KILE KINACHO ITWA MOVEMENT FOR CHANGE, KIJANA GODSON MBAGA Ameendelea kukonga nyoyo za wananchi wa jimbo la same magharibi kwa mikutano anayoendelea kuifanya jimboni, Hali hii imesababisha mbunge wa jimbo hilo David Matayo David kuhangaika usiku na mchana akifanya mawasiliano na viongozi wa ccm wilaya kubuni njia za kumdhoofisha kijana huyu lakini amegonga mwamba.
Godson Yupo same kwa ziara yake ya kufungua misingi na matawi na kuhamasisha wananchi kuupokea vuguvugu la mabadiliko.
kwa matukio wasiliana na +255752225501
Hongera kwa kutoa elimu ya uraia vijijini vya same.