Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Florent Kyombo Julai 24, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimboni

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 24 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimboni.

Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Bugolola na kugawa vitendea kazi kwa Viongozi wa CCM Kata.

Pia Mhe. Florent Kyombo amefanya Mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za Wananchi wa Kata ya Bugolola iliyopo Wilayani Missenyi, Mkoa wa Kagera.

IMG-20230725-WA0011.jpg
IMG-20230725-WA0014.jpg
IMG-20230725-WA0013.jpg
IMG-20230725-WA0004.jpg
IMG-20230725-WA0007.jpg
IMG-20230725-WA0005.jpg
IMG-20230725-WA0002.jpg
IMG-20230725-WA0008.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom