Kijana, don't settle with your agemate

Hatuna ushauri wa kumpa bwana EMMANUEL zaidi ya kumuonesha hii video.

Yaani rais wa nchi kama France unapigwa na mkeo mbele ya camera????

Ama kweli upele haumpati mwenyekucha.

ningekua ni mimi ningetangaza ndoa hapo hapo hata na muhudumu wa ndege na kibibi kingeenda jela.

View: https://youtube.com/shorts/LwnfFlclq1s?si=ZsRJWTEEJ9IMu4Vx
Kuna mambo sio ya kuletea masihara kama ofisi ya umma.


Mf: hapa Tanzania inasemwa kuwa kuna mama mmoja alikua ni muheshimiwa jaji alimuweka mumewe rumande pale pele mahakamani kwa kosa la kupiga honi ya gari.


unaambiwa mheshimiwa yupo bize anasikiliza kesi, baba kaja kumpitia. kuingia parking ya mahakamani si kapiga honi.anajifanya anaitawala mahakama kama yupo ghetto kwake.


Mama katoa amri, aliepiga honi awekwe ndani, maaskari chap kwenda kumtafuta mpiga honi wanakuta ni baba.


kwa sinario kama hiyo, huwezi kumkamata baba bila kumtaarifu mheshimiwa jaji.


jaji kaja kuambiwa kuwa anaepiga honi ni baba, jaji kasema kamataaaaaa, kwani baba ni nani kwenye ofisi ya serikali?


unaambiwa dingiii yupo bize anatongoza watumishi wa mahakama anashangaa paaaap pingu!!!!
 
Halafu ni ma gangster,real nigga wamezaliwa atlanta northern georgia wamekulia new york...hawawezi kununua gazeti jioni labda wananunua gazeti lililosomwa na wengi
Ukitoa title aliyokua nayo riri.

Imagine unakutana nae kwenye daladala unaweza ukampisha seat kwa heshima.
 
Mi huyu niliyenae na miaka 50 yake tabu tupu akienda kimoja hoi, namiss vijana wa miaka 30 na kitu ukitoka hapo unaumwa kilakitu ila Hawa wazee basi TU tunavumilia hakuna jinsi. Hapa natamani nibaki single nipumzike hata kidogo
 
Ukitoa title aliyokua nayo riri.

Imagine unakutana nae kwenye daladala unaweza ukampisha seat kwa heshima.
Kwamba amezeeka? Au amekua mshangazi!! Nakataa,...
Badgirlriri bado teketeke hajachoka ivo man,halafu miaka 37 sio mkubwa kivile,bado analea halafu watoto wagodo that way ameamua kuishi kama mama kweli....
Ndio maana amestop hata ma tour ya fashion,hashindi studio,hafagilii sana media ila ni billionaire...
Unadhani kim kardashian,khoe,khloe bila surgery wangekua vile na wanavozaa kila uchao?
 
Wanaume wa JF tumepagawa, kila mmoja an analeta wazo lake.

Kuna uzi humu jamaa anashauri usimzidi mwanamke wako umri mkubwa sababu mwanaume ukishazeeka, huwezi kukata kiu ya mkeo hivyo unatengeneza mazingira ya kusalitiwa.

Gap la miaka 15 (miaka 50 kwa 35). Hapo mwanaume unapiga kimoja, viwili kwa shida. Ila mwanamke kwa umri wa 35 ananitaji zaidi ya hapo.
 
Jiwe la gizani hilo. Tusubiri milio kwa litakalo mpata
 
Nashaangaga sana watu wanaosema eti ndoa haijalishi umri kikubwa muendane mitazamo na nini sijui. Najisema hawa watu hawajui kitu kinaitwa menopause
 
Mi huyu niliyenae na miaka 50 yake tabu tupu akienda kimoja hoi, namiss vijana wa miaka 30 na kitu ukitoka hapo unaumwa kilakitu ila Hawa wazee basi TU tunavumilia hakuna jinsi. Hapa natamani nibaki single nipumzike hata kidogo
Kabla hamjaanza kuishi pamoja hamkutest mitambo
 
Rihanna kajifungua mwaka jana, tena mwishoni mtoto wa 3.
Miaka 2 iliyopita hiyo vipi?
 
Offcouse suala fitness lazima ulizingatie. Miaka 50 kama fitness ipo fresh mbona bado kijana kabisa. Mwanamke wa 35 hawezi kukushinda. Miaka 50 si kama edo kumwembe tu, sasa yule ni mzee wa kutolewa knock out na mwanamke wa miaka 35?
 
Mimi nae gape isizidi miaka 8, i only accept 3-8. Nje ya hapo nope, uje uanze kunipigia mi story za Y2K 😂

I have no business dating anyone beyond one decade. Yaani kipindi yeye ashaanza kutongoza mi ndo nazaliwa afu nije kuwa nae? Hapana mwaya. Kwanza venye i’m childish natabia ya kuona watu wakubwa kwangu wako serious, afu nawaza ntavuaje nguo loh!

Uzuri wengine bado tunatongozwa na watu wa kuanzia 1970’s hadi 2005. Ni sisi tu kuchagua.

Mleta mada japo ulitaka kukazia mada yako umemuonea Riri, leta picha ya Riri nzuri, au leta picha ya Chris ile yuko kama teja ili tubalansi ikwesheni. Au lete picha ya biba vs selena gomez.
 
Lakini naelewa, naelewa sana kwanini wanaume wanaelekezwa kudate katika age gape kubwa.

Sababu sio sana za kibayolojia. Kwakuwa hiyo hiyo bayoloji inamuadhibu mwanaume kwa mambo fulani fulani. Wanaume wakubwa mnaelewa msijitoe ufahamu.

Sababu nyingi ni za kisaikolojia, Ndoa imejengwa katika misingi ya “Power &control” Truth is …. when a woman develops her frontal lobe ni ngumu kumfanyia michezo asielewe na asikuhold accountable , na kikawaida wanaume ni watu wa michezo michezo, if you know you know.

So yah, to be safe oa mtu mdogo sana kwako tena before her 27! 😅

Only men who want partners can date/marry they are age mates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…