Kijana, don't settle with your agemate

Njoo kwangu siku moja tu.
Mi huyu niliyenae na miaka 50 yake tabu tupu akienda kimoja hoi, namiss vijana wa miaka 30 na kitu ukitoka hapo unaumwa kilakitu ila Hawa wazee basi TU tunavumilia hakuna jinsi. Hapa natamani nibaki single nipumzike hata kidogo
 
Makeup
hizi na filter zisikutishe
 
Achraf Hakim kidogo akimbie baada ya kuiona sura ya MKE wa macron, lakini mi naona ni yeye tu mana anauwezo wa kuifanya surgery na sura ikawa ya kitoto kabisa
 
Hii ndo shida ya upungufu wa nguvu za kiume na kukosa sasampa

Halafu nashangaaga humu jamvini mnatupopoaga sana mbona sisi hatusemi kuwa out of wanaume 100 wenye nguvu za kiume ni only 5%
Mbona hatusemi jamani
Sio kuwa hawana NGUVU za kiume sema mzuka KWAKO HANA subiri akienda kwa kadogodogo shughuli yaa kule weeeeeww
 

Huyu ndo maana hua anapigwa makofi na mke wake
 
Ila mchizi ana roho ngumu sana. Pale mimi hata mnara hauwezi soma aise.
 
Interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…