Mtoa mada huna akili,kwani kijana kuwa ccm ni dhambi? Kwa taarifa yako kuna vijana wengi tu wapo ccm ndo maana uvccm ipo imara kama igneous rock.

CDM hakuna wazee hata m1.
Slaa ni kijana wa miaka 35 anaelekea 36,mtei sa hv nadhani ndo miaka kama 40 hv na yule jamaa wa monduli yeye anamiaka 33.