Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Kijana aliyetambuliwa kwa jina moja la Sam, amekutwa ameuawa kwenye pori la NAFCO lililopo Kigamboni Jijini Dar aidha taarifa zinadai kuwa kijana huyo ameporwa Bajaji.
Wananchi wamekuwa wakilillalamikia pori hilo kwa kutumika kama kichaka cha kutekelezea vitendo vya ubakaji, uporaji mpaka vitendo hivyo viovu vimekuwa ni kawaida katika pori hilo kwa miaka mingi sasa.