Kijana anataka kuvunja ndoa ya kaka yake

Kijana anataka kuvunja ndoa ya kaka yake

Ni rafiki yangu. Mimi zaidi humpa ushauri nasaha. Ndo sababu nafahamu mengi
Ingekuwa ni wewe ningekupa ushauri mzuri sana... ila kwa sababu siyo wewe... utafanya copyright...
 
Huyo mke ni wewe,sasa nakushauri ni kuwa mumeo ndiyo hakutaki ila ameshindwa kukuambia live so anamtumia Mdogo wake afikishe ujumbe indirect.Pole kwa kurudi kwa wazazi ila dai chako mapema
There you are,yaani mume anamtumia mdogo wake kufikisha jumble.
Haiingii akilini mdogo Wangu asimpende mke wangu!!never never.
It's either yeye asepe au akubaliane na nitakavyo mm.my wife first ndugu baadae.
 
Back
Top Bottom