Jamaa ana umri wa miaka 25 sasa, anaishi kwa kaka yake tangu alipoanza form one hadi sasa anafanyakazi. Kinachoshangaza hapendi mke wa kaka yake aishi pale hali inayosababisha mama huyo kulazimika kuishi na Wazazi wake.
Tangu alipoenda kuishi nao ni vituko kila anapokuja shemeji yake hadi anataka kumpiga akimtaka aondoke.
Chakushangaza kaka yake anatazama tu hali hiyo hasemi chochote.
Tangu alipoenda kuishi nao ni vituko kila anapokuja shemeji yake hadi anataka kumpiga akimtaka aondoke.
Chakushangaza kaka yake anatazama tu hali hiyo hasemi chochote.