Kijana anataka kuvunja ndoa ya kaka yake

Kijana anataka kuvunja ndoa ya kaka yake

Hawa ndugu wa mume kwa kweli ni tatizo.na kama hutaonyesha msimamo watakuonea hadi ujute.huyo shemeji mwambie kbs akuheshimu.na mueleze wazi kuwa uko hapo kwa ajili ya kaka yake hakuna ziadi.akichukia basi aondoke akapange kwake si anakazi yake sasa shida iko wap?


Mara kadhaa mke anashauri huyo kijana akapange kaka yake anamjibu ataondoka akipenda
 
Huyo mke ni wewe,sasa nakushauri ni kuwa mumeo ndiyo hakutaki ila ameshindwa kukuambia live so anamtumia Mdogo wake afikishe ujumbe indirect.Pole kwa kurudi kwa wazazi ila dai chako mapema
Hata mm nahisi mleta uzi ndio mke hapo,though ameamua kuzunguka.
 
Sasa mtoto kamlea mwenyewe toka foam 1 afu leo aje akufukuze?
Kuna la ziada unatuficha haiwezekani kijana alipopata kazi tu ndio akawa hakutaki mpaka kaka yake awe kimya

Ni kwamba toka akiwa form one hataki shemeji yake aishi hapo na vurugu kubwa ilizuka kipindi hicho mama akarudi kwao kuepuka matatizo maana kijana anavurugu si la kawaida.
 
kaka ndo zoba, na huyo dogo apange si keshaanza kazi. na huenda mwenye mke kamchoka mkewe ndo maana hamkemei dogo
 
wote wendawazimu hasa kaka mtu na mdogomtu....tena kaka mtu naye boya...mdogo mtu naye boya
 
Huyo mke ni mpole na mstaarabu sana.
Jifunze kutofautisha watu wapole na wakimya wanafiki na wastaarab si rahisi mke wa aina hiyo kufanyiwa hayo mume asifanye kitu wala ndugu wengine wa mume kama wakwe wasije kumtomua shem asiye na adabu.
Chunguza vizuri urudi hapa!
 
Huenda mdogo mtu na kaka yake wanagegedana wao kwa wao.
 
Siku nyingine usilete huku issue kama hii!
 
Jifunze kutofautisha watu wapole na wakimya wanafiki na wastaarab si rahisi mke wa aina hiyo kufanyiwa hayo mume asifanye kitu wala ndugu wengine wa mume kama wakwe wasije kumtomua shem asiye na adabu.
Chunguza vizuri urudi hapa!


Ni watu ninaoishi nao jirani kwa hiyo ninawafahamu Muda mrefu. Ni zaidi ya miaka nane tunaishi jirani. Kwa hiyo nilichokiandika ndicho ninachokifahamu.

Tulivyomzoea huyo kijana kipindi shemeji yake hayupo ataleta rafiki zake wengi kuishi hapo na yule mama akiwakuta anakaa nao kwa upendo ingawa mara nyingi hakai zaidi ya siku mbili kuepuka vurugu.
Lakini kijana akiona hivyo anawachukia hao rafiki zake na kuwaundia visa ili kaka yake awafukuze, lakini naye huwaacha mpaka waondoke kwa kupenda wenyewe.
 
Hahahahahaha! Huyo mme ni bwege, huyo shemeji mnamuendekeza ña huyo mama ni mpumbavu, hv unaanzaje kuondoka nyumbani kwako eti kisa shemeji yako hakupendi, mama mtu mzima miaka 40!!!
Hapa kuna kitu zaidi,
 
hajamuoa huyo inawezekana ni rafiki yake tu kimapenzi ndo maana dogo mtu anatumia advantage hiyo, angekuwa mke kweli wa ndoa asingefanya fyoko! thubutu
 
Hapo Kuna mahusiano ya jinsia moja, mwanamke achomoke zake kwa mwendo wa Hussain Bolt
 
Jamaa ana umri wa miaka 25 sasa, anaishi kwa kaka yake tangu alipoanza form one hadi sasa anafanyakazi. Kinachoshangaza hapendi mke wa kaka yake aishi pale hali inayosababisha mama huyo kulazimika kuishi na Wazazi wake.
Tangu alipoenda kuishi nao ni vituko kila anapokuja shemeji yake hadi anataka kumpiga akimtaka aondoke.
Chakushangaza kaka yake anatazama tu hali hiyo hasemi chochote.
huyo dada aende kwa wazazi wake hakuna ndoa hapoo
 
Back
Top Bottom