Kijana Alawitiwa na Jini kwa Miezi Sita

Bongo kweli nyoso...

Hawa wataalam wa hivi sijui kwa nini huwa hawatoi hizi adhabu kwa wanasiasa waongo waongo...

Yaani unaitisha majini kama hayo yanatembeza ukuni kwa wabunge wote pale mjengoni, inaanza na walioiba kura kwanza...
hao wenyewe wana majini yao, mbna yatafirana majini kwa majini.
 
Ninalima kijiji kimoja Kilosa,
Jamaa alisharest in peace, Ila alitembea na mke wa mtu, mwenye mke akamuonya, akajibu kunywa, jamaa akaenda kwa kakake akaomba aongee na mdogo mtu, amuache mkewe, bro naye akamtolea nje, akamwambia hao ni watu wazima.

Kilichompata huyo mwizi wa papuchi, ale embe ale dagaa anywe maji, haja zote kubwa na ndogo ni office pin na vipisi vya nyembe, jamaa alikufa kwa njaa na kiu, mazingaombwe haya. Kumtafuta jamaa alishaondoka, kule msimu wa kilimo watu kutoka sehemu mbalimbali wanahamia wakishavuna wanaondoka zao.

Haya mazingaombwe yapo jamani, sijarudi tena kulima huko, kibarua mgunda mie wataniua.
 
Back
Top Bottom