Kiinua mgongo cha Mbunge kodi inakatwa 2020, lakini inatangazwa leo 2016, kulikuwa na ulazima?

LIPUMBA3232.jpg

Aliyekua mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema amefurahishwa na kitendo cha serikali cha kuwaondolea waheshmiwa wabunge msamaha wa kodi, akisema uamuzi huo umekuja wakati muafaka kwani hakukuwa na sababu yoyote kwa waheshmiwa hawa kupewa msamaha huo.
 
aliyekua mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf prof ibrahim haruna lipumba amesema amefurahishwa na kitendo cha serikali cha kuwaondolea waheshmiwa wabunge msamaha wa kodi akisema uamuzi huo umekuja wakati muafaka kwani hakukuwa na sababu yoyote kwa waheshmiwa hawa kupewa msamaha huo.
teh teh teh

Lipumba la maana aliloliona ni hilo tu.??

Kama Professor mkubwa wa Uchumi aliyewahi kuwa mshauri wa Mwinyi na Mseveni angetakiwa kuja na hoja nzito nzito sio hii.
 
Hivi hilo la Kodi kwenye kiinua mgongo ni Immediate source of revenue kwa mwaka 2016/17? Hilo lilipaswa kuwa tangazo tu ili wabunge wawe aware

Vilevile ni lini Rais atalipa Kodi au atarekebishe lini Kifungu 43 cha Katiba?
 
amezungumza km baba kabula wa hapa kijijini,aoneshe tofauti ya kuwa prof wa uchumi asiogope sn kisa watz washajua ni msaliti.
 
Hivi hilo la Kodi kwenye kiinua mgongo ni Immediate source of revenue kwa mwaka 2016/17? Hilo lilipaswa kuwa tangazo tu ili wabunge wawe aware

Vilevile ni lini Rais atalipa Kodi au atarekebishe lini Kifungu 43 cha Katiba?
Unaweza kutuekeza ni sheria ipi ina mpa mamlaka Rais ya kurekebisha Katiba, au ndo umeshakuwa Magufuli phobia.
 
Hapana mtoa uzi ni mnafiki jana nimemsikiliza lipumba tbc wakati wa bajeti. Aliikosoa vikali sana japo kuna maeneo alisifia..

alikuwa na mtangazaji Gabriel zakaria na mgeni mwungine aliyeonekana ni gamba.. ripumba alitoa nondo huku akisema kwa bajeti hii ya figure haiwezi kulipeleka taifa popote..

akitolea mfano kwa bajeti ya wizara ya viwanda kuwa pamoja na mikati ya kuwa na uchumi wa viwanda lakini bajeti ya mwaka huu ya wizara hii haina tofauti na ya mwaka jana. Mtangazaji alijitahidi sana kumkwepa lupumba huku akimpa muda mrefu yule gamba aliyeonekana akisifia.
 
teh teh teh

Lipumba la maana aliloliona ni hilo tu.??

Kama Professor mkubwa wa Uchumi aliyewahi kuwa mshauri wa Mwinyi na Mseveni angetakiwa kuja na hoja nzito nzito sio hii.

Hao ndio tunaowategemea watuchambulie bajeti nzima kifungu kwa kifungu. Lakini ajabu nao wananyofoa kamstari kamoja tu wanakajengea hoja.
 
Ukisikia Sanaa ndio hizi, ndio nini kutusomea kodi ambavyo ni hewa Bungeni kwa nini wasingesubiri 2019 ndio watangaze.

Inaeleweka kodi kwa wabunge ni 2020, lakini tunasomewa kodi leo wakati inajulikana haitatozwa kwenye bajeti hii..... hii ni Sanaa ilimradi ionekane kuwa serikali imewagusa hadi wabunge.

Sikuona mantiki ya Waziri kusoma hili Bungeni leo.!
Kiinua mgongo cha 2020 ni moja ya chanzo cha mapato 2016.
 
Ikiwa uliamua hivyo Haki yakulalamika unapata wapi....Sababu wanaolalamika walikuwa na chaguo mBADALA wee umekaririshwa Maneno pale Lumumba...kwamba El..fisadi Magufuli tangu aanze kutumbua mbona hajamtumbua Lowasa Ameishia kuhamisha Hasira za uchaguzi kwa jamaa waliomuunga Mkono tu Lowasa ingekuwa kweli anashndwa nini kumtumbua kwa jinsi mkulu anavyopenda KIKI...mliochagua CCM hamna HAKI yakulalamikia haya maumivu kaeni KIMYA coz milijitakia
Naona kama hatukuelewana uzuri kaka. Niseme kutoka ndani ya moyo wangu kwamba bado sijaona cha kulalamikia mpaka mida hii. Lakini hata pale muda utakapowadia wa mimi kulalamika sitakaa niseme ATI Fisadi mkuu angefaa zaidi ya huyu aliyepo. Pengine naweza kujilaumu kwa taifa letu kutofanikiwa kuwa na uzao wa watu wanaoweza kututumikia kwa ustadi unaotakiwa lakini si kumfikilia fisadi mkuu.
 
Back
Top Bottom