idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,282
- 38,359
Ukisikia Sanaa ndio hizi, ndio nini kutusomea kodi ambavyo ni hewa Bungeni kwa nini wasingesubiri 2019 ndio watangaze.
Inaeleweka kodi kwa wabunge ni 2020, lakini tunasomewa kodi leo wakati inajulikana haitatozwa kwenye bajeti hii..... hii ni Sanaa ilimradi ionekane kuwa serikali imewagusa hadi wabunge.
Sikuona mantiki ya Waziri kusoma hili Bungeni leo.!