The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,516
- 2,080
teh teh tehaliyekua mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf prof ibrahim haruna lipumba amesema amefurahishwa na kitendo cha serikali cha kuwaondolea waheshmiwa wabunge msamaha wa kodi akisema uamuzi huo umekuja wakati muafaka kwani hakukuwa na sababu yoyote kwa waheshmiwa hawa kupewa msamaha huo.
Achana na huyo mburula hana anachokijua!!Kwa hiyo kwenye bajeti ya Mwaka huu wametenga kiasi gani kiinua Mgongo cha wabunge 2020.?
Unaweza kutuekeza ni sheria ipi ina mpa mamlaka Rais ya kurekebisha Katiba, au ndo umeshakuwa Magufuli phobia.Hivi hilo la Kodi kwenye kiinua mgongo ni Immediate source of revenue kwa mwaka 2016/17? Hilo lilipaswa kuwa tangazo tu ili wabunge wawe aware
Vilevile ni lini Rais atalipa Kodi au atarekebishe lini Kifungu 43 cha Katiba?
Kwenye hili, Lipumba anajadili issue sio politics though he is a politician.very very cheap politics!
Mzigo mzito MPE mnyamwezihahahaha Mnyamwezi katika ubora wake! Hivi yuko hapa Tz au na yeye yuko Canada kama mwenzie
teh teh teh
Lipumba la maana aliloliona ni hilo tu.??
Kama Professor mkubwa wa Uchumi aliyewahi kuwa mshauri wa Mwinyi na Mseveni angetakiwa kuja na hoja nzito nzito sio hii.
Kiinua mgongo cha 2020 ni moja ya chanzo cha mapato 2016.Ukisikia Sanaa ndio hizi, ndio nini kutusomea kodi ambavyo ni hewa Bungeni kwa nini wasingesubiri 2019 ndio watangaze.
Inaeleweka kodi kwa wabunge ni 2020, lakini tunasomewa kodi leo wakati inajulikana haitatozwa kwenye bajeti hii..... hii ni Sanaa ilimradi ionekane kuwa serikali imewagusa hadi wabunge.
Sikuona mantiki ya Waziri kusoma hili Bungeni leo.!
Naona kama hatukuelewana uzuri kaka. Niseme kutoka ndani ya moyo wangu kwamba bado sijaona cha kulalamikia mpaka mida hii. Lakini hata pale muda utakapowadia wa mimi kulalamika sitakaa niseme ATI Fisadi mkuu angefaa zaidi ya huyu aliyepo. Pengine naweza kujilaumu kwa taifa letu kutofanikiwa kuwa na uzao wa watu wanaoweza kututumikia kwa ustadi unaotakiwa lakini si kumfikilia fisadi mkuu.Ikiwa uliamua hivyo Haki yakulalamika unapata wapi....Sababu wanaolalamika walikuwa na chaguo mBADALA wee umekaririshwa Maneno pale Lumumba...kwamba El..fisadi Magufuli tangu aanze kutumbua mbona hajamtumbua Lowasa Ameishia kuhamisha Hasira za uchaguzi kwa jamaa waliomuunga Mkono tu Lowasa ingekuwa kweli anashndwa nini kumtumbua kwa jinsi mkulu anavyopenda KIKI...mliochagua CCM hamna HAKI yakulalamikia haya maumivu kaeni KIMYA coz milijitakia