Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

...Hicho kipengele na. 9 kimeniuma sana.......! wajinga ndio waliwao......!
 
Kunanzia siku hukumu iliposajiliwa mahakama kuu hadi siku Tanesco itakapolipa deni, Dowans wanaendelea kuvuna milioni 17 kwa siku. Inachosha!
 
Barua eti kaandika nani?? Waste of time, bure kabisa!!
Mpaka hapo dili mpya inasukwa tena; viongo wa aina hii!!!
 
Ni jambo la kawaida kwa mwansiasa yeyote mwenye maslahi au malengo (binafsi) fulani kuvaa ngozi ya wale anaotaka kuwaumiza. Atazungumza lugha laini, yenye mvuto ili wamwone ni mwenzao. Ni sayansi ya viumbe hai na ni rahisi kuiona kwa wanyama wenye kuwinda na kuwindwa miongoni mwa mengi.

Huyu dogo anatafuta jukwaa na namna ya kutoka. Na wa siasa chafu za ccm kwao wanataka waonekane kuwa na viongozi wenye harufu ya maslahi ya umma wa Tz. Ni siasa duni za enzi za ujima ambazo kwa sasa hazina nafasi.

He's guilty of the very thing he half-heartedly tried to denounced....i.e. politics on major national issue like umeme.
 
Whatever the case, ameandika vizuri. It is very damaging to Ngeleja....naona Mkwere ameamua kumtosa Rostam kupitia kwa huyu kijana
I am watching!
 
thanx wengine hatukuiona humu jamvini, inawezekana siku hiyo umeme ulienda kwao
 
Mdogo wangu January Makamba

Nimesoma barua yako ya tarehe 3 februayr uliyomuandikia kilaza Ngeleja... Kama hata baada ya kuisoma barus hiyo bado JK atamuacha NGeleja wizara ile, then nitaamini kuna nguvu kali kuliko za shetani na malaika combined zilizoizunguka serikali yetu; na tungezitumia hizo kuleta maendeleo basi tungekua zaidi ya wachina

Sometimes we change faces for the sake of it; and for this i think William Ngeleja needs just kick to remind people that one can make deicisions
 
Huyo january na ukoo wake wote wa CCM ni craps.hiyo barua mie sijaisoma lakini wanavyonichefua mpaka naona shida kuwasoma
 
kwakuwa January ni kijana mwenzetu tusimchukie sababu ya baba yake, barua aliyomtumia Ngeleja itachukuliwa kimzaha kama kawaida ya serikali yetu
 
Huyo january na ukoo wake wote wa CCM ni craps.hiyo barua mie sijaisoma lakini wanavyonichefua mpaka naona shida kuwasoma

hii inabadilisha nini kwa January au kwa maisha yako binafsi? get a life girlie
 
Huyo january na ukoo wake wote wa CCM ni craps.hiyo barua mie sijaisoma lakini wanavyonichefua mpaka naona shida kuwasoma
Thanks FL

Siri moja ya mkakati mzuri ni kujua adui yako anafanya nini... I dont like CCM kabisa lakini pale penye ukweli ni lazima tuwe wakweli

The letter exposes what you and I need to know and measure performance ya wizara na tanesco kwa ujumla, kuna 20BN watu wamelipwa for a whole year kwa kuwasha jenereta kwa 20 hours, nisingejua hayo kirahisi

Its your vhoice to ignore craps but remember even Mandela gained a lot by knowing what makaburu were thinking
 
Itaonekana kichekesho kama tutaanza kujadili kitu kisichoonekana:
Ni muhimu hiyo barua kama ingewekwa wazi.
 
kwa kweli....January anajitahidi.....ni bahati mbaya sana yupo upande ambao sio wenye.
 
Mdogo wangu January Makamba

Nimesoma barua yako ya tarehe 3 februayr uliyomuandikia kilaza Ngeleja... Kama hata baada ya kuisoma barus hiyo bado JK atamuacha, tehn nitaamini kuna nguvu kali kuliko za shetani na malaika combined zilizoizunguka serikali yetu; na tungezitumia hizo kuleta maendeleo basi tungekua zaidi ya wachina



Pongezi ni jambo jema lakini kejeli ni uhuni ndg.
 
Huyu kijana ni political strategist kwa kushirikiana na kundi fulani. Barua yake ililenga kushawishi wabunge kumchagua katika kamati ya Nishati na Madini. It was a planned and well calculated move kuweka mtu wao katika sector hiyo nyeti. Nadhani mnakumbuka Idelogical Weapons za Masifadi (New Habari Corporation) zilivyopaisha barua hiyo siku chache zilizopita. January hawezi kuwa na utaofauti na Babayake, Lowassa, RA na JK. Subiri mda si mrefu mtaona.

Kumbuka katika bunge lililopita Wizara Ya Nishati na Madini ikiongozwa na W. Sherukindo ilikuwa mwiba sana kwa serikali hasa katika hoja ya Richmond.
 
kwakuwa January ni kijana mwenzetu tusimchukie sababu ya baba yake, barua aliyomtumia Ngeleja itachukuliwa kimzaha kama kawaida ya serikali yetu
Huo ndio ushindi wa wapinzani, kwamba CCM hawasikilizani hata wao kwa wao pale ambapo mmoja analeta hoja ya haja
 
Back
Top Bottom