what makes it being crap?
Unataka mpaka CDM wakisema ndio manakubali?
tunapingana kwa hoja sio chuki binafisi zisizoweza kujenga nchi yetu
CCM wamekua na muda wa kutosha kutatua haya matatizo lakini mpaka leo wameshindwa - unataka waongoze miaka 100 ndio uamini wameshindwa. Huoni ni dhahiri CDM ndio pekee mbadala wa CCM kwa sasa, labda ukweli huoni ila unaona unachopenda kuona. CCM hata waongoze miaka mingine 50 hakutakua na mabadiriko kuhusu tatizo la umeme, hata mwenyewe unajua ahadi nyingi tulizowahi kupewa na uongozi wa CCM kuhusu tatizo hili - lakini bado mimi na wewe mpaka hii leo tupo gizani.