Nakwambia unaonekana kituko, wewe siyo native speaker wa kiingereza unamcheka D.Trump ambaye ni native speaker wa Kiingereza? Akili yako inakutosha wewe kweli? D.Trump ni Bilionea ana miaka zaidi ya 70, amefanya Biashara na Dunia nzima, wewe umezaliwa zako Tunduma huko leo hii unakuja kukosoa Lugha yake? Tena yake ya mama?