Marekani wanaandika "honor", "specialized" "organized" ...etc. Mwingereza anaandika "honour", specialised". " organised".Huyu jamaa si mara ya kwanza kufanya makosa katika spelling za Kingereza. Halafu utakuta sisi tunachekana mtu akikosea spellings.
Wakati wenye lugha INAWASHINDA!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Utafungwa bila faini....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu big up unajielewa sana kuna ma junk humu ya kibongo hayajielewiwalitaka asemeje? honoured? ambayo ni british english? hawajui kama "Honor" ni American English? au mimi sielewi?
yuko mtz alikuwa mshauri wa Obama mambo ya IT (Indian Race)..... wako nawajua watz wako IT pentagon..... wako watz madaktari bingwa huko Texas ....... marekcha wa yunivesitiez .... wako watz Hollywood wanacheza movie na akina Jolie na Gere (mmoja wapo ni binti anatokea mkoa wa Tanga. Pia yuko kid wa kitz anachipukia-ready kwenye tv commercials nyingi), wako watz models wakubwa sana USA, makasisi wa kibongo huko, wataalamu wa oil n gas, Houston City mkurugenzi (manager kwa style yao) ni mtz, wapo NASA, Aircraft engineers (mwingine alipoteza viungo few years a go akiwa kazini), NBA, Soka etc... unajidharaurisha mkuuSafi sana limekuingia hili, ndio wale wale failures walioogopa umande, leo ati waje wawe werevu wa kuinoa Tanzania kwenye next generation kisa wanafanya kazi za hali ya chini marekani.
He is just white ... not an angel ... anaweza kufanya typing error kama mwanadamu yeyote...Vp hao wamarekani wenzake waliomkosoa hapo kwenye page yake baada ya ku-tweet?
Ina maana nao hawajui tofauti ulioisema?
Ni mbwembwe not official english..... me, myself and I ..... viingeleza vya drama but not uhalisiaHii inaweza ikaeleweka ni Typing Error ila kwa mfano mtu anaandika...''ON BEHALF OF ME AND MY SELF''.....Hii nayo ni typing error?
Wewe umeona amekosea nini hapo?Typing error wapi mkuu
View attachment 462409
View attachment 462412
Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.
Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?
Typo!...ipi?Mtoa mada we ni ki.laza tu...mana hapo tatizo sio kingereza tatizo ni typo....typing error.
Mtoa mada we ni ki.laza tu...mana hapo tatizo sio kingereza tatizo ni typo....typing error.
We kama huoni izo posts mbili..sijickii kuongea na ww.Typo!...ipi?