Hapendi utumwa ndo maana hana muda wa kuizijua lugha za watu wakati ana lugha zake.yaani madanganyika bado matumwa ambayo yanaona ufahari sana kujua kiingereza kuliko hata lugha zao.tusiwe watumwa.Kwani uwongo? Kuwa sizonje hajui ngeli?
Acha kupotosha wewe sasa hizo shule alikua anatumia lugha yake? Kiingereza tunaanza primary yeye na PhD hawezi kuongea kiingereza fasaha fluently, Hapo kuna tatizo sema ukweli tu ndio maana ata akitweet anachapia zaidi ya mara mbili, husifanye watz wa sasa hivi ni wa mwaka 47.Hapendi utumwa ndo maana hana muda wa kuizijua lugha za watu wakati ana lugha zake.yaani madanganyika bado matumwa ambayo yanaona ufahari sana kujua kiingereza kuliko hata lugha zao.tusiwe watumwa.
Vp hao wamarekani wenzake waliomkosoa hapo kwenye page yake baada ya ku-tweet?Shida ya wabongo tunajifanya wajuzi wa mambo kumbe wapumbavu, mueleweshe vizuri kuna Englishs all over the Britain na kuna Dialect na accent za English hasa kwa native speakers kama D.J. Trump. Ukweli kuwa sizonje kitu hakipandi.
We shida yako unataka ajue kiingereza 100%?nyie ni watumwa na ndo maana hata alipoongea kisukuma shinyanga mlianza makelele yenu.Acha kupotosha wewe sasa hizo shule alikua anatumia lugha yake? Kiingereza tunaanza primary yeye na PhD hawezi kuongea kiingereza fasaha fluently, Hapo kuna tatizo sema ukweli tu ndio maana ata akitweet anachapia zaidi ya mara mbili, husifanye watz wa sasa hivi ni wa mwaka 47.
Kukosea kuandika aimaanishi ajui kuongea kaka, pengine ajui tu kuandika kiingereza vizuri kama ambavyo wapo wasiojua kuandika kiswahili na wanakiongeaNakwambia unaonekana kituko, wewe siyo native speaker wa kiingereza unamcheka D.Trump ambaye ni native speaker wa Kiingereza? Akili yako inakutosha wewe kweli? D.Trump ni Bilionea ana miaka zaidi ya 70, amefanya Biashara na Dunia nzima, wewe umezaliwa zako Tunduma huko leo hii unakuja kukosoa Lugha yake? Tena yake ya mama?
Maelezo yako mbona hayaendani.Hafadhali kakosea spelling lakini ujumbe wake mzuri, Sio wetu sisi yeye anataka kutukuzwa na kutoa maneno ya kipumbav*.[emoji35]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Typing error wapi mkuuHiyo ni typing error ila tu mantiki yake iko pale pale.
Nakwambia unaonekana kituko, wewe siyo native speaker wa kiingereza unamcheka D.Trump ambaye ni native speaker wa Kiingereza? Akili yako inakutosha wewe kweli? D.Trump ni Bilionea ana miaka zaidi ya 70, amefanya Biashara na Dunia nzima, wewe umezaliwa zako Tunduma huko leo hii unakuja kukosoa Lugha yake? Tena yake ya mama?
On behalf of myself and people of tanzania!!View attachment 462409
View attachment 462412
Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha
patashika nguo kuchanika.
Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo baraka yao ilikuwa kukimbilia USA kwa sababu ya dezo, kwenda kusoma vyuo kwa kuwa na form IV au chini ya hapo, (ooops yaani majority) vipi Trump atawarudisha kwa nguvu wale ambao bado hawana ukazi?