Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,027
- 142,937
Sisi wengine huwa tunapita hapo kupigwa kiyoyozi kabla ya kuendelea na safari ya kurejea makwetu...
Lukelo sakafu we unakijua lakini
Maneno kama "oh my God" " I was like...." " this is awasome".
BTW, kuna mtangazaji wa BBC wa kike kama jina Tulanana Bohela au Bohenela??? yeye ndo kabisaa anaongea kiswahili kwa lafudhi ya kiingereza. Usiombe mkutane naye Mlimani City "mikogo" ndo inazidi zaidi
mkuu naongea kingereza mpaka natisha, sibahatishi.
Hehe Mkuu pale mimi huwa sina misheni zaidi ya kwenda kubadilisha ngozi,maana ninapoishi joto sana aisee!
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu, ubitozi na usister duu!

yaani kazi kweli kweli al sharptonMwe sasa na sisi weupe wa lugha sijui tufanyeje
yaani kazi kweli kweli al sharpton
Kweli sisi wa bongo ni tatizo humuhumu kwenye hii hoja utaona wanaoponda kingereza nawao wana changanya maneno ya kingereza na kiswahili !!. Tuanche ulimbukeni, kama unajifanya unajua kingereza siuende jukwaa la kimataifa !.
Mkuu I hope hunisemi mimi manake lugha ya watu sijaijulia kivilee
Bowie radhi