Kiingereza cha Mlimani City

Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu, ubitozi na usister duu!

Imesimama kama Islamic State!
 
Hiyo sehemu ukifika kila mtu yupo busy kama mzungu.eti na wao waonekana wazungu.
 

Hahahahahaha,we Clues ni Sheeeeda.
Blessed you have made my day(he namie kizungu pori kimekuja kwa kuona mtoto mzuri tu,sijui nikiendanae mlimani City itakuwaje)
 


teh teh..nilijuwa kuna ka sarcasm hapo! Tena sie ambao hatujawahi kwenda huko uingereza ndo tunapenda kiswanglish balaa.
 
Naona wote wenye app ya dictionary kwenye sm zao wameamua kuepuka uzito wa kitabu
 
Hahahahahaha,we Clues ni Sheeeeda.
Blessed you have made my day(he namie kizungu pori kimekuja kwa kuona mtoto mzuri tu,sijui nikiendanae mlimani City itakuwaje)


Mwenzio diamond kang'ang'ana, koma mtoto mzuri akufundishe .. akikuzingua mrudishie kingereza chake
 
Hahahaha dah kuna watu mko talented jaman...umenifurahisha sana rafiki
 
ila si kama chako ambacho kinamfanya mwenzio atembee na dictionary!!

ha ha ha ha ha ....teh teh jf ni mzuuuka kwa kweli. Kiinglish cha mliman city ni cha Is na Was...ila wanaelewana. Kumbe kuna kiinglisha cha kwingne ambacho hakina Is na Was ambacho ukimsikia muongeaji ni shurti uwe na dictionary!

Jf...., Burudani!!!!!!!!!
 
just like just like ...ziko nyingi kwa kila sentensi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…