lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Kiingereza kinaongeza hadhi bana. Kinakufanya uonekane msomi, wa kileo, na mstaarabu.
Kiingereza kinaongeza hadhi bana. Kinakufanya uonekane msomi, wa kileo, na mstaarabu.
Mmmh...! Lugha zingine hazimfanyi mtu "aonekane" msomi, wa kileo na mstaarabu??
Hiyo mlimani city ndo iko wapi?ni chuo?
Umeanza nikimalizia napewa BANIpo Nanjilinji,Lindi vijijini
Hawafanyi makusudi bali ...Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu, ubitozi na usister duu!
Umeanza nikimalizia napewa BAN
Hawafanyi makusudi bali ...
Lile jengo limekuwa equiped with Special gravity ambayo iko standby kuchezesha lips za midomo mara tu unapoingia mjengoni ili uweze kuzungumza kimombo hata bila ya ridhaa yako...!
Endapo ukifanikiwa kukaa mule kwa zaidi ya saa mbili.. basi utakuwa tayari umekidhi vigezo vya mtu anayestahili kuwa interviewed kwa ajili ya nafasi ya kazi....!
kiingereza kinaongeza hadhi bana. Kinakufanya uonekane msomi, wa kileo, na mstaarabu.
Wabongo bwana 😂😂😂
Mtu unamsemesha kiswahili anakuchanganyia lugha, ukiongea kingereza anaanza kuchanganya R na L humo humo kingerezani, past tense zinakuwa future na future zinakuwa present, present tense zinakuwa mixed grill😂😂😂
ila si kama chako ambacho kinamfanya mwenzio atembee na dictionary!!
Nasikia pia watz wakiingia Karia koo wanaaza kupiga cha Kihindi na Kichina ili kwenda sawa na wenye Maduka........!