Kiimani zaidi

Kiimani zaidi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,295
Reaction score
829,338
469c5eb527a8f898453d67c56c8b86b0.jpg

Basi msalipo fanyeni hivi... Mungu wetu si kiziwi kwamba hatasikia sauté yako. ..huhitaji kupayuka wala kupiga kelele... ndio maana unaaswa kwamba utakapo taka kusali funga mlango fanya maombi yako kwa utulivu. ...Na Baba yako aliye sirini atakujazi
 
View attachment 471884 Basi msalipo fanyeni hivi... Mungu wetu si kiziwi kwamba hatasikia sauté yako. ..huhitaji kupayuka wala kupiga kelele... ndio maana unaaswa kwamba utakapo taka kusali funga mlango fanya maombi yako kwa utulivu. ...Na Baba yako aliye sirini atakujazi
unastahiri kuitwa mchochezi!!
 
Kupayuka au kupiga kelele maana yake nini????

Anyway asantee kwa Neno.
 
Back
Top Bottom