Kihoro kingine chaja, just get prepared!!

Mbona kifo ni sehemu ya maisha,hali kadhalika kifo ni WADHI kwa waliobakia kuacha maasi na kumuabudu Mwenyezimungu
 
Itakua ni kuhusu Chadema kufutwa au? It will be a disaster

Let's wait and see
 
Muhudumu ongeza beer mezani hakuna kulala kodi zetu zinatuuma sana...walijua kuwa mungu ni Sichonje?pwaaaa amenyakuliwa akiwa india!
Kiburi chote kwisha habari yake!
 
Kwani anachokisema hua ni kweli au uongo?
 
Muhudumu ongeza beer mezani hakuna kulala kodi zetu zinatuuma sana...walijua kuwa mungu ni Sichonje?pwaaaa amenyakuliwa akiwa india!
Kiburi chote kwisha habari yake!
Kwani tayari? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…