Kihoro kingine chaja, just get prepared!!

Madhara ya mafumbo ndio haya, kila mtu anaibuka na lake, haya wengine macho na masikio yapo India, wengine yapo Buguruni yaani ni tafrani tu kila kona.
 
Wekeni data za kutosha wakuu,ili kama tuikimbie nchi,tuanze mapema,uzuri Mimi naongea Lugha zote za wenyeji wa mikoa ya mipakani,na jirani zao upande wa pili,kuvuka boda faster,nafika upande wa pili,iwe Kenya,msumbiji kule mtambaswala,au Tunduma,au Kigoma,
 
Acha uoga
 
kutokuja ni tatizo lakini kujua ni tatizo zaidi. sasa hii ya kwako haieleweki nauhakika wenye simu yako washakupigia kwakuwa sio tulichozoea.
 
Hata sijui kwanini lile wazo la Albadir limewekwa kapuni...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…