Kihongosi: Nimepokea ujumbe umoja wa ulaya imeiondolea Tanzania vikwazo leo

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa amepata taarifa kwamba umoja wa ulaya EU walikokuwa wameweka vikwazo dhidi ya Tanzania wameondoa vikwazo hivyo wamesema kuwa Tanzania ni salama.

Mwambia aache propaganda za kitoto
 
Mpuuzi sana huyu jamaa,page za EU kwa mitandao yote ya jamii hazina hii taarifa.

Kwani amesehau kama wiki mbili ,Samia muuaji alisema atabembeleza world bank wamkopeshe fedha kwakuwa EU wamegoma
 
Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa amepata taarifa kwamba umoja wa ulaya EU walikokuwa wameweka vikwazo dhidi ya Tanzania wameondoa vikwazo hivyo wamesema kuwa Tanzania ni salama.

Uongo toa habari ya vikao vya maamuzi ya umoja huo?
 
Back
Top Bottom