Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,187
- 162,689
Eti hawa ndio viongozi wa kuipeleka nchi kwenye uchumi wa viwanda!!!!!!
Hivi jamaa alikuwa anawaza nini
Na ana bahati machale yalimcheza angetangaza tu natumaini ndoa yake ingeingia mafuta ya taa! Chezea Mashoga wewe!Hivi jamaa alikuwa anawaza nini
Sent from my Huawei mate 9
Lazima wangemharibia kabisaNa ana bahati machale yalimcheza angetangaza tu natumaini ndoa yake ingeingia mafuta ya taa! Chezea Mashoga wewe!
Hujiulize kwa nini viongozi wanaongoza kwenda kutimbiwa nje badala ya kutibiwa ndani? hatuna MD, % ni wababaishaji.
Hapa kigangwala anasema uchichozi unaweza pimwa kwenye mkojo,kwamba kuna kemikali ukizitumia husababisha uchochezi!
Hapa anafananisha watu na wanyama,basi naye kipimo cha mkojo kinamuhusu,huenda kemikali ndio zinamfanya asiheshimu binadamu wenzake!
Methali za wahenga zilikuwa na mantiki sana km Masikini akipata matako hulia mbwata ''hivi vyeo ni Dhamana tu!''Kiongozi kama huyu hata akitukanwa matusi ya nguoni ni halali yake.
Dawa ya moto ni moto.
Poa
Hawa watu akili zao wanazijua wenyeweVitendo vilivyofanywa na mlevi vitakuwaje uchochezi? Labda kama unataka kubadilisha mashitaka yawe matumizi ya madawa.
Hapa kigangwala anasema uchichozi unaweza pimwa kwenye mkojo,kwamba kuna kemikali ukizitumia husababisha uchochezi!
Hapa anafananisha watu na wanyama,basi naye kipimo cha mkojo kinamuhusu,huenda kemikali ndio zinamfanya asiheshimu binadamu wenzake!
Hoja za kisayansi zinajibiwa kisiasa.Sijaona hoja iliyojibu hoja ya Kigwangalla...
Hii thread yako ni ya viti maalum ndio maana inaendelea kuwepo