Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Ifike wakti tujenge hoja zenye tija tofauti na kua bendera wafuata upepo. ..Dr.Kigwangala alichosema kuna uwezekano wa athari za matumiz ya madawa ya kulevya kumfanya mtu kuzungumza vitu ambavyo vinaweza leta picha tofauti. ..mfano mtu akilewa anaweza toa lugha ya chafu kwa mtu yeyote au kufanya jambo lolote la aibu bila kujali muktadha.
Na kilichoulizwa ni kuhusu upimwaji wa mkojo na ishu ya uchohezi kwa maana ya kwamba mtu anaweza shiriki kutoa maneno ya uchohezi kutokana na kua ametumia madawa. ..that means mentally driven by alcohol ...or other addicts
Sasa watu mnshishindwa kutenganisha majibu ya Dr.Kigwangala na ishu ya Tundu Lisu.
Dr.Kigwangala amejibu kipimo cha mkojo kinahusiana nn na matumiz ya dawa za kulevya na sio kipimo cha mkojo na kesi ya Tundu Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nachojua Lissu hajawahi kumtukana mtu, alichoongea ni lugha halali kabisa na ukweli halali, sema kwa kuwa aliyesemwa ni mzito hivyo kila chepesi hugeuka na kuwa kizito.
Hebu jiulize mwenyewe fair question. Toka Tanganyika ipate uhuru na kuungana na Zanzibar kumeshatokea kesi ngapi polisi za kutukanana (Mitusi hasa), ulishawahi sikia yeyote kati ya hao akipelekwa kwa mkemia mkuu kupima mkojo???