Kigwangalla apingwa vikali baada ya kuunga mkono kipimo cha mkojo!

we hushangai mtu anajinasibu kuwa ni medical doctor lakini anapojibu maswali ya wizara ya afya anachemka hadi anasaidiwa na ummy mwalimu ambaye ni mwanasheria...huyu hakufoji jina tu,hadi vyeti nahisi.
 
Quack doctor!
 
Inawezekana alidesa mpaka mitihani yake
 
Mkojo unaweza kuwa na uhusiano na uharifu kabisa, na ninakubaliana kabisa na Dkt Kigwangala. Maana kama mtu anatumia madawa akili zake zinaweza kuwa zimaruka BCOZ YA MADAWA
 
HKigwangalla amesema wazi kama sio mwana sayansi hutoweza kuelewa na ndio kinacho watokea Bavicha! Kama Lissu angepimwa mkojo na ukakutwa na bangi ni wazi kabisa ingejulikana sababu ni bangi.....Sasa mtu kama sio muhalifu na uko sawa una kataa vipi kipimo?

Mimi kwa Tundu Lissu ningeomba apimwe akili kabisa.
 
Mkojo unaweza kuwa na uhusiano na uharifu kabisa, na ninakubaliana kabisa na Dkt Kigwangala. Maana kama mtu anatumia madawa akili zake zinaweza kuwa zimaruka BCOZ YA MADAWA
Bado nashangaa Bawacha wanapinga nini sijui na hili halikuhitaji kuwa mwana sayansi kulitambua....
Ina wezekana Jf kuna Malofa na wapumbavu wengi kuliko ......
 
Back
Top Bottom