Najua kama akawaida yao watapitisha hili
Leo kwenye kikao cha 'briefing' cha wabunge, mbunge wa nzega Mh Dkt. Hamis Kigwangalla amejikuta ktk wakati mgumu alipoamua kuweka wazi msimamo wake kuwa hakubaliani na mpango wa spika wa bunge Mh Anne Makinda kuwaalika madaktari bingwa kutoka hospitali za Apollo kule India kuja kuwacheki afya wabunge. Kigwangalla alisema: 'serikali ya Tanzania chini ya Rais Kikwete imefanya jitihada kubwa sana kusomesha wataalam mabingwa hususani kwenye fani za moyo, viungo, meno, mafigo na hawajashindwa kubaini na kutibu magonjwa ya wabunge wa Tanzania mpaka tuite wahindi kuja kubaini liffestyle problems za wabunge wetu, itakuwa ni kuwadharau wataalam wetu, kutumia vibaya pesa za walipa kodi na zaidi ni kujiona sisi ni muhimu na special zaidi kuliko waliotuchagua...mimi napinga mpango huu na ninakushauri Mh Spika usituletee aibu ya kuwa wasaliti kwa wananchi ambao tunapaswa kuwatetea wapate huduma bora za afya...'
Wabunge wengi walionekana wakiguna kuonesha kuwa wanampinga.
Mh Lusinde Livingstone alimpinga akisema 'tusione aibu kutafuta tiba za afya zetu...pengine wengine wanatoa michango ya hovyo hapa kwa sababu wana homa vichwani mwao'
Mh George Mkuchika naye akasema: 'kwa mara ya kwanza frequency zangu zimeoana na za Kigwangalla...hebu limalizeni hili dada yangu Anne, litoe kwenye mpango wako, litatuaibisha...'
Ahsanteni,
Zul.
NCDs ni non-communicable diseases (magonjwa yasiyo ya kuambukiza), daktari Riwa kuna watu hapa uliwaacha njiani.Namuunga mkono kwa 100% colleague wangu Dr Kigwangalla...hii ni kudhalilisha taaluma, kujiona wao bora na wana thamani zaidi, na matumizi mabovu ya kodi zetu. Sasa mpaka screening ya NCDs uchukue wataalamu toka Apollo!? Maspecialist vijana wenye skills wanagraduate kila mwaka toka vyuo vikuu vyetu wanashindwa kufanya screening ya NCDs! Dharau...
NImekumbuka ule wimbo wa Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote nchi yangu Tanzania.........mtanisaidia kumaliziaLeo kwenye kikao cha 'briefing' cha wabunge, mbunge wa nzega Mh Dkt. Hamis Kigwangalla amejikuta ktk wakati mgumu alipoamua kuweka wazi msimamo wake kuwa hakubaliani na mpango wa spika wa bunge Mh Anne Makinda kuwaalika madaktari bingwa kutoka hospitali za Apollo kule India kuja kuwacheki afya wabunge. Kigwangalla alisema: 'serikali ya Tanzania chini ya Rais Kikwete imefanya jitihada kubwa sana kusomesha wataalam mabingwa hususani kwenye fani za moyo, viungo, meno, mafigo na hawajashindwa kubaini na kutibu magonjwa ya wabunge wa Tanzania mpaka tuite wahindi kuja kubaini liffestyle problems za wabunge wetu, itakuwa ni kuwadharau wataalam wetu, kutumia vibaya pesa za walipa kodi na zaidi ni kujiona sisi ni muhimu na special zaidi kuliko waliotuchagua...mimi napinga mpango huu na ninakushauri Mh Spika usituletee aibu ya kuwa wasaliti kwa wananchi ambao tunapaswa kuwatetea wapate huduma bora za afya...'
Wabunge wengi walionekana wakiguna kuonesha kuwa wanampinga.
Mh Lusinde Livingstone alimpinga akisema 'tusione aibu kutafuta tiba za afya zetu...pengine wengine wanatoa michango ya hovyo hapa kwa sababu wana homa vichwani mwao'
Mh George Mkuchika naye akasema: 'kwa mara ya kwanza frequency zangu zimeoana na za Kigwangalla...hebu limalizeni hili dada yangu Anne, litoe kwenye mpango wako, litatuaibisha...'
Ahsanteni,
Zul.
Mh Lusinde Livingstone alimpinga akisema 'tusione aibu kutafuta tiba za afya zetu...pengine wengine wanatoa michango ya hovyo hapa kwa sababu wana homa vichwani mwao'
Kweli Lusinde ana mtindio wa ubongo! apelekwe mirembe ASAP.
Hawa maviongozi ni maputo kabisa,
Mh. Makinda ni puto JEUSI