ukiwa mwanachadema siku zote lazima ufikirie kwa kutumia masaburi. Ni ujinga ulioje kwa mtu aliekuwa akiwatetea wananchi wake halafu hapa watu wanakuja na kejeli za kimasaburi. Pumbafu yenu wote mnaotumia masaburi kufukiria.
Viva kigwangala. go go go, achana na haya machizi ya chadema. Au wengi wao ni mataahira nini? Mbona hamueleweki nyinyi watu? au mnapigania nini? Hii haki mnayoimba kumbe ni changa la macho? wananchi fungueni macho muwaone hawa the so called chademaz kwa uhalisia wao.
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..
"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."

Mbunge wa Nzega(CCM) Dr. Hamis Kigwangala amefikishwa mahakamani leo hii saa nane mchana kutokana na sakata la kufunga mgodi.
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..
"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."
Son...yo got a head, and your neuron seem not to have a single damage as a result of this life sort of......This Man Kigwa....is just singing a crazy song.kuna sehemu alisema CCM wana namna yao ya kuwasilisha malalamiko, tena akamponda Bashe kwa kulalama.......... SASA YEYE ANAFANYA NINI?
MAMBAFFFFFFFF
trust me, chadema doesnt need huyu jamaahuyu nae sijui ana matatizo gani, yaani unapingana na watu wanaokupatia ugali?? Njoo CDM kama kweli unamaanisha unachokisema, huko waache akina Six