Kigugumizi cha Membe katika vita dhidi ya ufisadi...

Napenda kutofautiana na mtoa hoja. Umeshindwa kutofautisha mambo mawili, WAJIBU na MAMLAKA. Siamini kuwa Waziri Membe ana nguvu na sifa ya kimungu ambayo mtoa mada anataka kumpa. Kwamba Membe anaweza kushitaki, kufunga na hata kuumba na kuhitimisha kila jambo. Membe ni Waziri wa Mambo ya Nje, Mjumbe wa NEC na Mbunge wa Mtama tu. Hana mamlaka ya kushitaki, kuteua wala kufukuza.

Membe ni mmoja kati ya Mawaziri 13 waliowahi kuwa Mawaziri wa Mambo ya Nje toka tupate uhuru. Hakuna Waziri hata mmoja huko nyuma ambaye amewahi kuwa na mamlaka ya kushitaki, kufukuza wala kuteua. Hivyo, Waziri Membe si Waziri Mraba ni Waziri kama Waziri mwingine.

Waziri Membe kama kiongozi anao WAJIBU wa kukemea maovu katika jamii ikiwemo ubadhirifu na ufisadi. Membe kwa bahati mbaya MAMLAKA aliyonayo inamdhibiti kushughulikia maovu na ubadhirifu ndani ya Wzara aliyokabidhiwa pekee, na MAMLAKA hiyo imeainishwa katika 'Instruments' alizokabidhiwa alipoapa.

Kwa upande wa WAJIBU, Membe ndiye Waziri pekee katika Serikali ya Awamu ya Nne ambaye amethubutu kusema wazi kuwa wapo Watuhumiwa wa Rada nchini na wanapaswa kufikishwa mbele ya Sheria. Alilisema hili wakati akiwasilisha hotuba yake ya Bajeti mwaka huu( Rejea Hansard). Mawaziri wengine wote wamekuwa wakikwepa kulitamka hilo na wamekuwa wakidai kupatiwa ushahidi. Membe ametekeleza WAJIBU wake mkubwa zaidi wa kutetea maslahi ya taifa kwa kuvalia njuga fedha za Radar hadi Serkali ya Uingereza na BAE wakasalimu amri. Aidha, katika hili ameshirikisha hadi Bunge.

Sasa Membe amekamilisha WAJIBU wake na ametumia vyema MAMLAKA yake kama Waziri wa Mambo ya Nje kusimama kidete na kuongoza mapambano hadi fedha zmepatikana. Hata kama angependa kwenda mbele zaidi kuwashitaki watuhumiwa, MAMLAKA yake haimruhusu. Hata pale palipokuwa na Kesi ya Mahalu ambayo ilianzia katika Ubalozi wa Tanzania Rome, MAMLAKA iliyoshitaki ilikuwa ni PCCP,DPP na Mwanasheria Mkuu.

Nahitimisha hoja yangu kuwa Membe hana mamlaka ya Kimungu. Amekamilisha vyema WAJIBU wake na ndani ya MAMLAKA yake. Hata angekuwa na mabaya kiasi gani, anapaswa kupongezwa kwa hili. Swala la RADAR linapaswa kuulizwa kwa wenye MAMLAKA ya kuchukua hatua kuanzia pale alipomalizia Membe.

pole sana umetumia muda mwingi kujibu hoja ambazo zipo nje ya mada........mimi sijazungumzia mamlaka au umunugu wowote humu.............kwa hiyo hizo ni hoja mpya.............................kufhusu radar ningependa ni kujibu kama ifuatavyo:-

Membe hajawahi kututajia ni akina nani ambao walihusika na udhalimu wa hiyo rada kwa hiyo kuzungumzia kuwashtaki wasiojulikana ni unafiki mkubwa usio na kifani..........................................alipaswa awatambue kwanza halafu mengineyo yangelifuata...................

kuhusu kesi ya mahalu...............huu ni ushahidi wa ya kuwa Membe yupo pale kulinda mkate wake..................................hebu nieleze yuko JK na Luhanjo? Mbona hawajashtakiwa wakati wao ndiyo waliokuwa wasimamizi wa hiyo wizara? membe mbona hatujamsikia akilalama ya kuwa ni dagaa tu ndiyo wanashughulikia kama kule majengo pacha ya BOT?

anza kutafakari..........................membe ana walakinmi mkubwa na hafai kuwa kiongozi hata wa shina popote hapa nchini..............
 
When you see a man changing his religion due to some influence from another person, that person is not fit to be leader at all!

tetesi nilizonazo ataka kuongeza mke wa pili kutoka familia fulani ambayo itamwezesha kuwa na undugu na kibosile mmoja serikalini kwa maana ya ushemeji...................tumekwisha hapo.......
 
Tatizo ni sisi wapiga kura hatupendi watu wanaokemea ufisadi...Dkt Slaa si alikemea sana ufisadi kabla ya uchaguzi 2010!!

wapigakura hatuna shida ila mfumo wetu unawawezesha waliopo madarajkani kutumia vyombo vya dola kutuibia kura kama TISS na NEC............
 
Kwani Lowassa nayeye amewahi kukemea ufisadi gani mkubwa zaidi ya kutisha watumishi wa halmashauri???...

Wote hawafai.

Masfisadi kweli noma, mmeamua kumtungia amebadili dini uzeeni? Hebu tuambieni kivipi mseminary yule mpaka abadili dini,
mafisadi wakishika nchi hii ndiyo tutajua walivyotayari kufanya lolote kulazimisha wanalolitaka wao liwe.

ukimwuliza lowassa atakwambia aliwahi kukemea kwa kuvunja mikataba ya ujambazi aliousuka yeye mwenyewe baada ya kumtokea puani basi akaamua kuzima moto ili kujinusuru yeye mwenyewe.......................wote hawa lazima tuwakatae kwa nguvu zote tulizonazo.......
 
Ni kweli kabisa Mhe Membe na ufisadi si rahisi sana kutenganisha maana hata siku moja hajawahi kukemea janga hili la taifa hadharani wala kuonyesha juhudi zozote za dhati kuutokomesha kabisa nchini.

yeyeyote anayetaka uraisi sifa ya kwanza ni kukemea ufisadi kwa nguvu zote alizonazo...........
 
Kama waziri wa Mambo ya nje lazima anafuatilia siasa za marekani na jinsi Herman Cain wa Republican party anavyoumbuliwa madudu yake yanayomfanya asistahili kuwa mgombea wa urais; kwetu hapa ufuska sio dili lakini kwa madudu ya Membe yatakayofumuka akitangaza nia ya kutaka kugombea hiyo itakuwa Tsunami!! Salama yake akae kimya atulie ama sivyo madudu yake aliyokuwa anafanya na rafiki yake muethiopia mfanyabiashara aliyekuwa anaishi Mbezi beach yatafumuka, na hii ni tip of the ice-berg!

hizi ni rasharasha tu.............atakapoinua nia yake ya uraisi na kuiweka hadharani ndipo mengi yataanza kujitokeza............na kuibuliwa kwa upya...............
 
inasikitisha sana,mbona hajajibu watuhumiwa wa rada serikali itawafanyaje?ila kudai pesa anakua na kihere here.

fahamu na halafu tafakari orodha ya watuhumiwa wa rada na ndipo utafahamu ya kuwa kwa nini membe anapatwa kigugumizi cha kukemea ufisadi................................kwani akikemea tu hata hicho kibarua watamnyang'anya.......
 
pole sana umetumia muda mwingi kujibu hoja ambazo zipo nje ya mada........mimi sijazungumzia mamlaka au umunugu wowote humu.............kwa hiyo hizo ni hoja mpya.............................kufhusu radar ningependa ni kujibu kama ifuatavyo:-

Membe hajawahi kututajia ni akina nani ambao walihusika na udhalimu wa hiyo rada kwa hiyo kuzungumzia kuwashtaki wasiojulikana ni unafiki mkubwa usio na kifani..........................................alipaswa awatambue kwanza halafu mengineyo yangelifuata...................

kuhusu kesi ya mahalu...............huu ni ushahidi wa ya kuwa Membe yupo pale kulinda mkate wake..................................hebu nieleze yuko JK na Luhanjo? Mbona hawajashtakiwa wakati wao ndiyo waliokuwa wasimamizi wa hiyo wizara? membe mbona hatujamsikia akilalama ya kuwa ni dagaa tu ndiyo wanashughulikia kama kule majengo pacha ya BOT?

anza kutafakari..........................membe ana walakinmi mkubwa na hafai kuwa kiongozi hata wa shina popote hapa nchini..............

Hata kuwa monitor wa darasani hafai, sijui jamaa ana msimamo gani, amefanya nini, anatetea nini, jimbo lake lina maendeleo gani, ameshinda mjadala gani, yupoyupo tu. Hata WIKILEAKS walieleza kwamba TZ iliposhikia uennyekiti wa AU hatukua na ajenda yoyote na hamna chochote tulichofanya during our chairmanship. HELL NO to this guy.
 
pole sana umetumia muda mwingi kujibu hoja ambazo zipo nje ya mada........mimi sijazungumzia mamlaka au umunugu wowote humu.............kwa hiyo hizo ni hoja mpya.............................kufhusu radar ningependa ni kujibu kama ifuatavyo:-

Membe hajawahi kututajia ni akina nani ambao walihusika na udhalimu wa hiyo rada kwa hiyo kuzungumzia kuwashtaki wasiojulikana ni unafiki mkubwa usio na kifani..........................................alipaswa awatambue kwanza halafu mengineyo yangelifuata...................

kuhusu kesi ya mahalu...............huu ni ushahidi wa ya kuwa Membe yupo pale kulinda mkate wake..................................hebu nieleze yuko JK na Luhanjo? Mbona hawajashtakiwa wakati wao ndiyo waliokuwa wasimamizi wa hiyo wizara? membe mbona hatujamsikia akilalama ya kuwa ni dagaa tu ndiyo wanashughulikia kama kule majengo pacha ya BOT?

anza kutafakari..........................membe ana walakinmi mkubwa na hafai kuwa kiongozi hata wa shina popote hapa nchini..............

Hapo ndipo sikuelewi. Unataka Membe akutajie nani na wewe unawajua na umma mzima unawajua? Akiwataja yeye anaongeza nini? Lakini pia kazi ya Waziri si kulalama. Ukiona Waziri analalama basi kuna tatizo la msingi. Waziri ni mjumbe wa Cabinet ni vile yanayozungmzwa huko ni siri. Hawezi kuwa na yeye anaungana na sisi kwenye jamii forums kulalama.

Napata tabu kuelewa kuwa vyobo vinavyohusika huvilaumu ila unamlaumu Membe. Nitakuelewa ikiwa lengo la thread hii ni Membe, na si ufisadi.
 
Kama waziri wa Mambo ya nje lazima anafuatilia siasa za marekani na jinsi Herman Cain wa Republican party anavyoumbuliwa madudu yake yanayomfanya asistahili kuwa mgombea wa urais; kwetu hapa ufuska sio dili lakini kwa madudu ya Membe yatakayofumuka akitangaza nia ya kutaka kugombea hiyo itakuwa Tsunami!! Salama yake akae kimya atulie ama sivyo madudu yake aliyokuwa anafanya na rafiki yake muethiopia mfanyabiashara aliyekuwa anaishi Mbezi beach yatafumuka, na hii ni tip of the ice-berg!

That is a suicide mission. Anzeni then tumalizie. Nani anaweza kurusha jiwe wakati huo amechafuka mwili mzima. Anzeni sasa maana tayari ameshatangaza nia. Mkifanya hivyo, kumbukeni ile hotel iliyopo Monduli inayotumika kujaza vimada wa jamaa wa mamvi. Halafu tujue kinachoendelea kwenye ndoa ya Mbowe ambayo inayumba sana!
 
....ni heri tulivyopotea njia wakati wa kwenda (jk), lakini sio wakati wa kurudi, eti Membe tena, ukanda ule ule wa gaza (pwani), japo hapa hoja sio upwani au ukwere, ukweli ni kwamba jamaa hawa hawawezi ku-deliver
 
Membe bhana! Si ndo huyu mzee wa diaspora? Mzee wa OIC? Mzee wa ucameroun? Nyoka wa mdimu?...kama urais wa Yanga ok bt wa Tanganyika Noooo!
 
Mtatapatapa sana mwaka huu. Wakati mmoja mnasema hakuna kikwazo cha kuukwaa urais lakini mienendo yenu inaashiria panick ya hali ya juu na kwa hakika sasa inaonekana kwamba what stands between mamvi na presidency ni Membe. Ndiyo maana adolescent and hopeless rumours fly around kwamba amebadilisha dini na hata ku-suggest kwamba eti yeye ni Muislam. Sasa unajiuliza anasali msikiti gani na jibu halitolewi na kama kutohudhuria St. Joseph ndo kigezo leo basi tujiulize, je, kati ya mwaka 1990 na 2000 ambapo alikuwa hahudhurii kanisa hilo alikuwa amebadilisha dini? Ni mambo ya kusikitisha maana hoja sasa zinakimbiwa na kuingia kwenye upuuzi.
 
Muheshimiwa Membe hapa umejitahidi kujibu hii hoja!!!!

Napenda kutofautiana na mtoa hoja. Umeshindwa kutofautisha mambo mawili, WAJIBU na MAMLAKA. Siamini kuwa Waziri Membe ana nguvu na sifa ya kimungu ambayo mtoa mada anataka kumpa. Kwamba Membe anaweza kushitaki, kufunga na hata kuumba na kuhitimisha kila jambo. Membe ni Waziri wa Mambo ya Nje, Mjumbe wa NEC na Mbunge wa Mtama tu. Hana mamlaka ya kushitaki, kuteua wala kufukuza.

Membe ni mmoja kati ya Mawaziri 13 waliowahi kuwa Mawaziri wa Mambo ya Nje toka tupate uhuru. Hakuna Waziri hata mmoja huko nyuma ambaye amewahi kuwa na mamlaka ya kushitaki, kufukuza wala kuteua. Hivyo, Waziri Membe si Waziri Mraba ni Waziri kama Waziri mwingine.

Waziri Membe kama kiongozi anao WAJIBU wa kukemea maovu katika jamii ikiwemo ubadhirifu na ufisadi. Membe kwa bahati mbaya MAMLAKA aliyonayo inamdhibiti kushughulikia maovu na ubadhirifu ndani ya Wzara aliyokabidhiwa pekee, na MAMLAKA hiyo imeainishwa katika 'Instruments' alizokabidhiwa alipoapa.

Kwa upande wa WAJIBU, Membe ndiye Waziri pekee katika Serikali ya Awamu ya Nne ambaye amethubutu kusema wazi kuwa wapo Watuhumiwa wa Rada nchini na wanapaswa kufikishwa mbele ya Sheria. Alilisema hili wakati akiwasilisha hotuba yake ya Bajeti mwaka huu( Rejea Hansard). Mawaziri wengine wote wamekuwa wakikwepa kulitamka hilo na wamekuwa wakidai kupatiwa ushahidi. Membe ametekeleza WAJIBU wake mkubwa zaidi wa kutetea maslahi ya taifa kwa kuvalia njuga fedha za Radar hadi Serkali ya Uingereza na BAE wakasalimu amri. Aidha, katika hili ameshirikisha hadi Bunge.

Sasa Membe amekamilisha WAJIBU wake na ametumia vyema MAMLAKA yake kama Waziri wa Mambo ya Nje kusimama kidete na kuongoza mapambano hadi fedha zmepatikana. Hata kama angependa kwenda mbele zaidi kuwashitaki watuhumiwa, MAMLAKA yake haimruhusu. Hata pale palipokuwa na Kesi ya Mahalu ambayo ilianzia katika Ubalozi wa Tanzania Rome, MAMLAKA iliyoshitaki ilikuwa ni PCCP,DPP na Mwanasheria Mkuu.

Nahitimisha hoja yangu kuwa Membe hana mamlaka ya Kimungu. Amekamilisha vyema WAJIBU wake na ndani ya MAMLAKA yake. Hata angekuwa na mabaya kiasi gani, anapaswa kupongezwa kwa hili. Swala la RADAR linapaswa kuulizwa kwa wenye MAMLAKA ya kuchukua hatua kuanzia pale alipomalizia Membe.
 
Kigugumizi si kwa Membe tu, bali ni kwa viongozi wote wa serikali iliyoko madarakani. Mtoto hawezi kulitukana ziwa analolinyonya. Kinachoweza kuzaidia kwa sasa ni kukiondoa hicho kizazi chote cha nyoka. Tupate kizazi kipya chenye utu na uzalenda kwa nchi na watu wake.
 
hizi ni rasharasha tu.............atakapoinua nia yake ya uraisi na kuiweka hadharani ndipo mengi yataanza kujitokeza............na kuibuliwa kwa upya...............

Du! Ndugu yangu posho uliyolipwa inakutesa na kukufanya ukeshe kwenye computer huku ukiandika uharo. Unajisikiaje thread hii umeianzisha wewe na wewe ndiye umeiteka nyara na yet haina impact. Mimi nakushauri ungekuwa na ujasiri wa kuyataja hayo mabomu leo maana Membe keshatangaza nia ya kuwania uongozi wa juu. Utakapoyazungumza hayo uje na majibu ya kile chumba cha hoteli iliyo karibu na kanisa ambacho kimelipiwa kodi ya mwaka mzima na ile hoteli ya kuelekea Monduli Arusha ambayo nayo inaongoza kwa wadada kupishana humo. At an appropriate time, yote yatawekwa bayana halafu tuone nani ni malaika! Hoja hapa ilikuwa ni moral authority ya Membe katika kukemea ufisadi. Kama umeamua kufanya escalation, tunakukaribisha sana lakini umejiandaa?
 
Kwahiyo unamaana Sitta ndiye mwenye sifa hii...............Lakini amesema hana mpango wa kugombea nafasi hiyo

wako wengi na hata sitta bado aweza kuombwa na jamii agombee na atatii sauti ya umma..........
 
Du! Ndugu yangu posho uliyolipwa inakutesa na kukufanya ukeshe kwenye computer huku ukiandika uharo. Unajisikiaje thread hii umeianzisha wewe na wewe ndiye umeiteka nyara na yet haina impact. Mimi nakushauri ungekuwa na ujasiri wa kuyataja hayo mabomu leo maana Membe keshatangaza nia ya kuwania uongozi wa juu. Utakapoyazungumza hayo uje na majibu ya kile chumba cha hoteli iliyo karibu na kanisa ambacho kimelipiwa kodi ya mwaka mzima na ile hoteli ya kuelekea Monduli Arusha ambayo nayo inaongoza kwa wadada kupishana humo. At an appropriate time, yote yatawekwa bayana halafu tuone nani ni malaika! Hoja hapa ilikuwa ni moral authority ya Membe katika kukemea ufisadi. Kama umeamua kufanya escalation, tunakukaribisha sana lakini umejiandaa?

jibu hoja nadala ya kurukia yaliyomo nje ya mada...........................lol
 
Kigugumizi si kwa Membe tu, bali ni kwa viongozi wote wa serikali iliyoko madarakani. Mtoto hawezi kulitukana ziwa analolinyonya. Kinachoweza kuzaidia kwa sasa ni kukiondoa hicho kizazi chote cha nyoka. Tupate kizazi kipya chenye utu na uzalenda kwa nchi na watu wake.

inabidi tuendelee kuwachambua mmoja baada ya mwingine.........
 
Back
Top Bottom