MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,495
- 20,527
Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya Jeshi la polisi nchini.
Inasemekana ndani ya selo za Kigoto watu wanapata chakula bora na cha kutosha na kwa wakati, hamna mateso ya aina yoyote ile tofauti na vituo vingine, vipigo ni mwiko ndani ya Kigoto. Mtu yoyote anayeingia Kigoto hutoka bila alama yoyote ile.
Pongezi viwafikie makamanda wote wa Kigoto kwa kurudisha heshima ndani ya Jeshi la Polisi.
Taja kituo kingine kinachoheshimu haki za binadamu nchini.