KIGOMA: Polisi watatu wakataa rushwa ya milioni tatu

Kwa sasa hivi wamekuwa waoga wa kuchukua rushwa waziwazi maana wengine wanawachukua video inakuwa shida,waliona ww unaweza leta balaa,hawana kiburi cha kukataa M1 kila mtu,kwa mshahara upi? Hapo kuna mawili kwenda kuchukulia mbele kwa mbele au kumtia jamba jamba hadi kituoni ili ateme mpunga mrefu.
 
Mpunga ushapigwa kabla ya kufika kituoni. Tambua muadilifu huwa ha-bargain rushwa, hao wamepandishana kabisa dau! Kama hawakuichukua basi ni askari wa Dubai hao wapo mafunzoni huku.
 
Mkuu niliyashuhudia, nilikuwa home kijijini kwetu kabisa, jamaa alimpiga mke wake mpaka mauti yalimkuta yule mama, watu walikusanyika, ilibidi majukumu yagawanywe wengine waende polisi wilayani ili mwili wa marehemu ukahifadhiwe hospitali na polisi wachukue vipimo vyao. Waliokwenda polisi waliambiwa wajaze mafuta na walifanya hivyo.
mekupata kwa ushuhuda ulionao!maana hata kuapa kwa kitabu kitakatifu uko radhi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom