Kigoma ni pazuri si kama wengi wanavyodhani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigoma ni pazuri si kama wengi wanavyodhani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kimboka one, Feb 26, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ki ukweli nimetembea kigoma na wilaya zake zote.ni mji mzuri si kama wengi wanavyodhani wala morogoro haingii ndani
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Uzuri wake ni upi? Vumbi lile? Migebuka au Totoz?
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  I love Kigoma... :poa
   
 4. D

  DOMA JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Sa we umetokea lindi utaonaje kigoma kubaya?
   
 5. Mirhea

  Mirhea JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 317
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hahahahaaaa. Una mambo wewe..
   
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Habari za madayz mamii?? Kigoma kunani eti??
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Kigoma pazuri,kuna beach moja ya mawe,na si mchanga.Jacobson beach.Kigoma pako bomba
   
 8. data

  data JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280

  mirhea.. I jus like that name.
   
 9. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Mimi nilienda kigoma hivi juzijuzi nilishangaa kwa vile watu wanavyoisema vibaya kigoma.
  1. Kigoma mjini pale kuna hoteli za ukweli kama lake tanganyika, bangwe beach nk.
  2. Kwa mda wote niliokaa kigoma zaidi ya wiki mbili sikuwahi kuona umeme unakatika.
  3. Kigoma kuna taa za barabarani kitu ambacho hata baadhi majiji mengine ya tz hayana.
  4. Kuna mabeach ya ukweli na ziwa limeuzunguka mji.
  5. Wilaya zote za kigoma zina umeme, tena hakuna cha mgao.
  6. Huduma za kifedha zipo za kutosha.
  7. Kigoma mjini kuna lami ya ukweli isiyo na mashimo hata kidogo.
  8. Kuna usafiri wa uhakika wa ndege kwa wiki mara nne, usafiri wa mabasi upo, treni ndio bado unasuasua.
  Daladala ya kule hazina foleni.
  9. Tuhuma za uchawi na ushirikina ni za watu wanaohukumu kwa kufuata historia tu.
  Kuna mengine mengi sana niliyashuhudia KIGOMA. Lkn kwa uhakika kigoma ni nzuri zaidi ya mikoa mingi tu ya hapa bongo, tatizo kubwa pale ni kwamba hakuna viwanda vikubwa.
   
 10. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  KIGOMA nzuri? Labda siyo hii ninayoifahamu!
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh hata mimi labda ni kwa KG nisiyoijua......ila kwa hii haifai hata kwa mbali
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mi kwa hapo nilipocoment panatosha sana
   
Loading...