Kigoma mwisho wa reli

Kigoma mwisho wa reli

Bigabiro

Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
16
Reaction score
1
Ukiwa kigoma utapata ukarim kutoka kwa wenyeji, migebuka, dagaa safi, mitebwe, makopa, ngazi, mise nk
 
Attachments

  • kgm.jpg
    kgm.jpg
    45.7 KB · Views: 1,624
Duh kumbe kwakina Zito Kabwe na Kafulila kuzuri hivi?
attachment.php
 
Siku mungu akipenda nitatembelea Kigoma na Tabora miji ya Tanzania nisio itembelea ALLAH BARIK
 
Ukiwa kigoma utapata ukarim kutoka kwa wenyeji, migebuka, dagaa safi, mitebwe, makopa, ngazi, mise nk

mkuu nataka kujua nini tatizo kigoma, najua washkaji zangu wawili ambao sasa hivi wamepatwa na upofu katika umri mdogo tu, hawajafikisha 45. Jamaa hao ni wasomi wazuri tu, lakini ghafla yamewakuta........what s the problem kigoma.
 
nazikumbuka hizi sehemu cjui kama bado zipo

1,Stanley cafee...nilikaa hapo enzi zile mkuu wa mkoa Mgumia anampisha Marehemu Ditopile

2,zanzibar lodge cjui kama bado iko na ile timu ya Mbaga Fc...

ila vipi kuhusu Lami zimeongezeka?...maana last ilikua moja tu...
 
Hahaaa nilifika huko kama miaka iliyopita nadhani hizo sehemu bado zipi na zimeongezeka; kuna Modern restaurant, Sun City, dah kigoma raha sana...

Kuna yoyote amewahikufika mtaa wa simu na saigon?
 
asante sana bigabiro umenikumbusha mbali sana.. toka 1984 nimeondoka huko sijarudi... please endelea kutuma picha za Kigoma.
 
Ndo maana mikoa inazidi kuwa maskini kawekeze kwenye mkoa wenu, na laana pia mnapata kwa sababu hamuendi kwenu
 
nazikumbuka hizi sehemu cjui kama bado zipo

1,Stanley cafee...nilikaa hapo enzi zile mkuu wa mkoa Mgumia anampisha Marehemu Ditopile

2,zanzibar lodge cjui kama bado iko na ile timu ya Mbaga Fc...

ila vipi kuhusu Lami zimeongezeka?...maana last ilikua moja tu...
Mkuu sasa hivi Kigoma ni poa sana. Stanley haipo tena bali kuna vitu vingine heavy! Zanzibar lodge ipo na imezaa nyingine Zanzibar Hill. Mbanga FC haipo tena na mmiliki wake Ruhuza amejiingiza kwenye siasa na ameamua kumkomalia Kafulila huko NCCR! Lami iliboreshwa kiasi tu. Mabadiliko ni mengi sana Mkuu.
 
kigoma ni mji wa waha, wamanyema, watongwe, ni vikabila vidogo vidogo sana,
ndg zangu kigoma sasa hivi ni mji wa uwekezaji. kama una mavumba kimbia njoo kgm baada ya daraja la kikwete kukamilika patakuwa hapakamatiki
 
Patakua kama ulaya kama alivyo ahidi jamaa?

Back
Top Bottom