Kigoma mwisho wa reli

Mzee Bigabiro usisahau na hii hapa chini. Huyu ndio mkongwe wa majini Katika Africa ya Mashariki.

Liemba+Poster+2010.jpg

M-Kishuri. hili jina linanikumbusha mwl. wa mwanza sekondari alikua mwanariadha
 
Ila Nazareti kwa vitomoto balaa. Maji ya nyakageni badi yapo?
 
M-Kishuri. hili jina linanikumbusha mwl. wa mwanza sekondari alikua mwanariadha

Pengine tunatoka ukoo moja, kwani Babu yangu alikuwa na wake watano na watoto kama 25 hivi. Wazee wazamani walikuwa na vita mbaya, sio mchezo. Generation ya siku hizi, mhhhhhhh!! mtoto moja ni bahati.
 
M-Kishuri. hili jina linanikumbusha mwl. wa mwanza sekondari alikua mwanariadha
...mkuu huyo teacher bado yupo na anaendelea kufukuza upepo kama kawa' japo na umri nao unazidi kumkimbia kwa kasi,tangu nmjue Kinshuri ktk tasini hii ya riadha sijawai kusikia kama ameshiriki na kushinda mashindano yoyote,any way kushiriki na kushinda sio issue labda anakimbia ili kujiimalisha kiafya,but mshikaji wangu mmoja aliyepiga-book hapo Mwanza sec. aliniambia huyo mwl...sometime YES! sometime NO!...
 
Back
Top Bottom