Kigoma: John Mnyika awasili kushiriki mazishi ya Ally Kisalla

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,651
218,130
Taarifa ya Chadema Mkoani Kigoma inaeleza kwamba, Mh Mnyika atashiriki Shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani humo Ally Kisalla, yanayotarajiwa kufanyika leo.

Kamanda Ally Kisalla alifariki January 5, 2022 katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam.

Katibu_Mkuu_wa_Chama_Mhe._Mh._John_Mnyika_akiwasili_mkoani_Kigoma%2C_ambapo_leo_Januari_08%2C_...jpg
 
... Mungu awatangulie Miamba; Mwamba Ally apumzike kwa amani; amen.
 
Back
Top Bottom