Kigoma hatuna deni na Mama

Kigoma hatuna deni na Mama

Kigoma Hatuna tena deni na Mama;
1. International airport imejengwa,
2. Lami mpaka mlangoni,
3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika.
Aliyekuweka kuwa msemaji wa wanakigoma ni nani ewe chawa mnafiki!

Hakika yafaa ufungiwe jiwe utupwe baharini!

Yaweza kuwa hapo hapo Kigoma kuna watoto wadogo wanalala njaa na wewe lichawa upo huku kumwaga sifa za kijinga kwa viongozi! Ufe tu!
 
Kigoma ipi hiyo, hii ya Zitto? Kijana una matatizo ya kiakili kwa kweli, acha kuwasanifu wana Kigoma namna hii.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Haya,muendelee kutikisa mazegembe yenu.Mmejaa funza miguuni hadi vichwani halafu hamna mnaye mdai!
 
Kigoma Hatuna tena deni na Mama;
1. International airport imejengwa,
2. Lami mpaka mlangoni,
3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika.
Ukiachana na username, humo ndani naona unapaka mafuta kwa mgongo wa chupa makusudi kabisa. Anyway, bila D 2 mtu hawezi kuelewa ulivyomsifia mama😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom