Nyie hamna deni naye ila Burundi tuna deni naye!Kigoma Hatuna tena deni na Mama;
1. International airport imejengwa,
2. Lami mpaka mlangoni,
3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika.
4. SGR mpaka Burundi.
Kigoma ni zaid ya Dubai
Iwapo ni kigoma ya kwa Mwarabu hakika mtakuwa hamna deni naye,,😭Kigoma ni zaid ya Dubai
Hapo sawa. vip ile barabara ya Kasulu-Buhigwe Uvinza-Kasulu na nazo tayari? kama tayari ni jambo jema ila mpunguze ushamba tu..."Mnasema Mwanza ni Mujiii Kigoma ni Bhuleki Yaaao" Ona Vyuma vimebhebhana(gari moshi na reli). Ona chuma kina elea majiini (meli).Kigoma Hatuna tena deni na Mama;
1. International airport imejengwa,
2. Lami mpaka mlangoni,
3. Ambulance boats kama zote Lake Tanganyika.
4. SGR mpaka Burundi.
Wewe ni Mzanzibar, kigoma wapi na wapi?Kigoma Hatuna tena deni na Mama;