Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Wa Kigoma wako mbioni kuanzisha chuo kwa juhudi binafsi nina uhakika wataajiri Wahaya kama lecturers huku Wahaya wakingoja serikali iwajengee!Cha kushangaza maprofesa 90% wa hicho Chuo utakuta ni wahaya. Poor Kigomans.
Geza umenikumbusha jokes za hawa jamaa!, "Nshomile ing'ambo miaka ishatu!, halafu wewe unigambire fulishi infront of my shoga wife"Wa Kigoma wako mbioni kuanzisha chuo bila kwa juhudi binafsi nina uhakika wataajiri Wahaya kama lecturers huku wakingoja serikali iwajengee!
CC: britanicca, Pasco
Msisahau kuweka BSc Witch craft Science and Technology mtapata wateja wengi sana.Tayari Tuna eneo maeneo ya ujiji, tutaanza na Bsc. African Medicine, Bsc. Electronics, Bsc. Marine Engineering na BA conflicts resolution
U jst wait u will see!Kigoma leka tutigite!wht's so ''Great'' with The Great University???😀😀😀...
Hiyo ya African Medicine siyo uchawi wa Kikongomani kweli?Tayari Tuna eneo maeneo ya ujiji, tutaanza na Bsc. African Medicine, Bsc. Electronics, Bsc. Marine Engineering na BA conflicts resolution
Halafu wewe mleta post lazima utakuwa Muha Brazakeypia tuna mpango wa kuanzisha MSc. Superstitious & Aeronatics Engineering Management kwa ushirikiano na vyuo vikuu vya Nigeria.
Toa neno Great,linasound kama utoto flan au majina ya saloon au ya wasanii,call it Kigoma University...msipelekwe pelekwe na maneno ya kizungu kuongeza swagaSisi wanakigoma tunaoishi Dar, DODOMA na ughaibuni tunayo furaha kuufahamisha umma tuna mpango wa kuanzisha Chuo Kikuu mkoani kwetu ili Kutoa elimu kwa watanzania na raia wa nchi jirani. Tutazidi kutaarifiana muda wa usajili ukianza asanteni.
sioni ubaya kutumia great tena wangeweza kusema Kigoma African Great Lakes University will be more catchyToa neno Great,linasound kama utoto flan au majina ya saloon au ya wasanii,call it Kigoma University...msipelekwe pelekwe na maneno ya kizungu kuongeza swaga
Haya NationWa Kigoma wako mbioni kuanzisha chuo bila kwa juhudi binafsi nina uhakika wataajiri Wahaya kama lecturers huku wakingoja serikali iwajengee!
CC: britanicca, Pasco